Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

Jadda hebu nipe elimu kidogo kuhusu mke mwema na Mume mwema vile wewe unavyowatambua,,
Sio vibaya ukimwaga hapa sifa walau kumi kwa kila mmoja,, Maneno sifa ziwe fupi fupi sio maelezo marefu,
Like
Mume mwema:
1,, Mwizi
2,,Mlevi and so on...
Kwa mtiririko kama huo, itatusaidia kutuweka sawa sisi wanajamii Forum.
Sasa unaniuliza swali kama hilo halafu unanipangia namna ya kujibu kweli, binafsi siwezi kuelezea hoja kama hiyo kwa kifupi kwahiyo ni either nijibu hilo swali kwa kirefu ama nisilijibu kabisa, hata hivyo sitaki kupoteza muda wangu labda nikujibu tu kwamba, waume wema ndio hao wanaoitwa masimp na wake wema ndio hao wanaoitwa mafeminist, sasa ni jukumu lako wewe kutafuta sifa za hao watu kisha mpaka kufikia hapo utaelewa namaanisha nini
 
Leo ni siku ya masimp duniani maana naona nyuzi kama zote kuwahusu. Single mother leo likizo
 
Sasa unaniuliza swali kama hilo halafu unanipangia namna ya kujibu kweli, binafsi siwezi kuelezea hoja kama hiyo kwa kifupi kwahiyo ni either nijibu hilo swali kwa kirefu ama nisilijibu kabisa, hata hivyo sitaki kupoteza muda wangu labda nikujibu tu kwamba, waume wema ndio hao wanaoitwa masimp na wake wema ndio hao wanaoitwa mafeminist, sasa ni jukumu lako wewe kutafuta sifa za hao watu kisha mpaka kufikia hapo utaelewa namaanisha nini
Wewe toa maelezo hapa acha kujificha kwamba nimekupangia utaratibu

Toa hata hayo marefu
Kikubwa tupate elimu yako hapa.
 
Wewe toa maelezo hapa acha kujificha kwamba nimekupangia utaratibu

Toa hata hayo marefu
Kikubwa tupate elimu yako hapa.
Kama hujanipangia namna ya kujibu basi ndio nimeshakujibu kwamba wanaume wema ndio hao wanaoitwa masimp, na wanawake wema ndio hao wanaoitwa mafeminist kipi hujaelewa hapo, maana nimegundua umeuliza kama vile tayari una majibu yako ila unataka ligi, mimi nimeshaandika nilichoandika na ndio uhalisia, sasa ni juu yako wewe kukibeba au kukiacha hivyo basi wewe ndio useme ulichotaka kusema
 
View attachment 3452534

Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake.

Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp

Here we go.......

Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume) anayejidhalilisha au kupoteza heshima yake ili kumfurahisha mtu mwingine (hasa kimapenzi), hata kama hauthaminiwi au hurudishiwi upendo huo.

Hapo kwa uchache tumejua tunamaanisha nini tukisema usimp,sasa karibia wanaume wote katika maisha yetu tumepitia usimp ikiwemo wewe msomaji wangu,kama unabisha nyosha kidole nikuone

Kinachokuwa Kibaya ni kuendelea kuwa simp hadi wakati ambao wadau wanakusanua kwamba home boy badilika maisha hayatakiwi kuwa hivyo

Mfano unatuma meseji kwa mwanamke kabla hajajibu wewe tayar unatuma nyingine huko ni kujishushia thamani yako

Kuna uzi niliandika sheria tatu za kutumiana meseji


Lakini mwanaume ambaye anajielewa inatakiwa ukituma text kama haijajibiwa basi subir mpaka ijibiwe,na akijibu kesho wewe unajibu kesho kutwa,hii unamuonyesha demu kwamba hata wewe una mambo yako ya kufanya

Ifahamike kwamba hatukatazi au hatupingi kuwa romantic kwa mwenza wako,ila je huyo mwenza wako anatambua thamani yako,je naye anarudisha mrejesho japo kwa asilimilia chache

Je anaonyesha shukrani kwa jitihada unazo zifanya kwake,je ana kuappreciate?

Tunachopinga ni mwanaume kujitoa kwa mwanamke na hali huyo mwanamke haonyeshi ushirikiano wowote kwako

Na kibaya zaidi unafanya jitihada kubwa kumshawishi akupende lakini yeye Hana time kabisa na wewe

Ukiwa simp unadhani kwamba kumpa mwanamke hela ndio atakupenda zaidi,matokeo yake ukipata mrejesho ambao sio sahihi basi utaamua kuzidi kumpump na mahela huyo mwanamke ili umshawishi akupende

Kinyume chake unaonekana wiki mbele ya mwanamke,we jiulize kwanini mademu wanawapenda sana wahuni au Masela na sio nice guys

Kwasababu wahuni ila sio wale wa mboga mboga ambao wanatukandamiza,hapa naongelea wahuni ambao sio wanasiasa hawa ni wale watu ambao wanaishi na misimamo yao na wanaoshi maisha yao,hawana drama,hawa huonyesha tabia za kiume,Wana mamlaka juu ya mwanamke na huwezi kuwakuta wanalialia hovyo

Hawa huwezi kuwakuta wanapiga goti na kumwambia mwanamke " Will you marry me "

Maana kupiga magoti tayar ni usimp,unashusha thamani yako halafu unapandisha yake,yaani unaonekana kana kwamba wewe ndio unataka sana ndoa kuliko yeye,au yeye ndio muhimu sana kuliko wewe

Home boys hata nyie ni wenye thamani ila hamjijui tu, Lau mngejua thamani yenu basi msingekuwa masimp

Anyway hii kampeni itaendelea mpaka asilimia kubwa ya home boys wa jf waingie mwaka 2026 wakiwa masimp free

Ni hayo tu!
OG
 
Back
Top Bottom