Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #41
Ndio maana we advice our hommies to be very carefulGood thing is akili ya mwanaume ipo controlled and bitches know how to do it.
Ndio maana we advice our hommies to be very carefulGood thing is akili ya mwanaume ipo controlled and bitches know how to do it.
Hawa ndio huwa masimp og
Nipo mesi nakula 😁 nikupigie?Uko wapi afande fetty
Huyu chawa mbona anakuwa kilaza hivi? Huelewi nini anaposema kuwa anajaribu kuwaelimisha vijana wasishushe thamani yao kwa sababu ya mapenzi?Age yako 40+ you have to talk about business , investments n.k .
Kitu gani haukijui katika mapenzi?.
Tuondolee uchoko hapa unasikia wewe Uke?Umri wenu wa miaka 40+ mnabidi kuutumia kujadili retirement , investments and etc
Inasikitisha mnapokuwa mnajadili mada za mapenzi this is waste of time and energy kuna umri ukifika jaribu kukua.
Huyo ni doktori Haya land makachero wamemgundua,ana mind juzi tumempa vitasa, kwahiyo anaweweseka tuTuondolee uchoko hapa unasikia wewe Uke?
Wapi Ertugrul Bey u amesema kuhusu mapenzi
Au huelewi umekurupuka kutoka chumbani na kumuacha sponsor wako akiwa kaushikilia, ukidhani huku kuna greener pastures?
Huku kuna mada konki tu sio kwaajili ya wavaa mkate kama wewe..
Hii sio kwaajili ya wapokea mshahara mwisho wa mwezi.
Elewa.
Heshima kwako expert wangunilikuw simp once, usimp ni utahira mazeee........
No carefully mbele ya kipochiNdio maana we advice our hommies to be very careful
Hizi ni hoja za simp. Hakuna mtu anaeshinda jf masaa 24 ya siku.Kila mtu ana kazi zake za kufanya.Shida ni umasikini , most people thinks like a poor Man .
Ukiona MTU anazungumzia mapenzi 24/7 ujue either hajitambui au hajui nini anabidi Ku-accomplish in his or her life.
Kwani kampeni ya kupinga masimp unakuathiri vipi? Sasa 40+ ashaona kila kitu kwenye dating pool. Vipi kuhusu watoto na wadogo zake wa kiume? Asiwasanue?Age yako 40+ you have to talk about business , investments n.k .
Kitu gani haukijui katika mapenzi?.
And these simps are the ones emphasizing Uchumi bwege.Simps, stop pedestalizing women who bring nothing to your life.
Jadda hebu nipe elimu kidogo kuhusu mke mwema na Mume mwema vile wewe unavyowatambua,,Lakini uzuri ni kwamba hao mnaowaita masimp baada ya kupigwa matukio mwisho wa siku wengi wanakuja kupata wanawake waliotulia wasio na mambo mengi, hao wanawake mnaosema hawataki masimp wanataka wahuni nao pia ni wahuni vile vile wengi ni malaya na ndio hao wana vigezo vya hovyo kwenye kuchagua wanaume, kitu ambacho ni kizuri kwa sababu wanaostahili kupata wake wema ni hao masimp tu ninyi mnaojiita wahuni mnastahili kupata wahuni wenzenu wasiojielewa
Naonga mkono hojaJadda hebu nipe elimu kidogo kuhusu mke mwema na Mume mwema vile wewe unavyowatambua,,
Sio vibaya ukimwaga hapa sifa walau kumi kwa kila mmoja,, Maneno sifa ziwe fupi fupi sio maelezo marefu,
Like
Mume mwema:
1,, Mwizi
2,,Mlevi and so on...
Kwa mtiririko kama huo, itatusaidia kutuweka sawa sisi wanajamii Forum.