Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

Huku yupo chadema kule October wanatiki๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kijana anatuona fala kwel
Huko octoba wanatiki kabadili gia juzi tu. Ilikuwaga ni chadema mwanzo ukiona comments zake. Juzi baada ya vitasa ili tusimshtukie ndio akabadili anatick octoba ili tusijue ni yeye๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Usiku mwema Min-me
 

Number moja huwaga wanapendaga vibaya na mara nyingi wanabambikiwa watoto wa namba nne.
 
Sijausoma uzi, ila naunga mkono kampeni.
Masimp wanaudhalilisha uanaume.
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ