Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

Sasa unaniuliza swali kama hilo halafu unanipangia namna ya kujibu kweli, binafsi siwezi kuelezea hoja kama hiyo kwa kifupi kwahiyo ni either nijibu hilo swali kwa kirefu ama nisilijibu kabisa, hata hivyo sitaki kupoteza muda wangu labda nikujibu tu kwamba, waume wema ndio hao wanaoitwa masimp na wake wema ndio hao wanaoitwa mafeminist, sasa ni jukumu lako wewe kutafuta sifa za hao watu kisha mpaka kufikia hapo utaelewa namaanisha nini
 
Leo ni siku ya masimp duniani maana naona nyuzi kama zote kuwahusu. Single mother leo likizo
 
Wewe toa maelezo hapa acha kujificha kwamba nimekupangia utaratibu

Toa hata hayo marefu
Kikubwa tupate elimu yako hapa.
 
Wewe toa maelezo hapa acha kujificha kwamba nimekupangia utaratibu

Toa hata hayo marefu
Kikubwa tupate elimu yako hapa.
Kama hujanipangia namna ya kujibu basi ndio nimeshakujibu kwamba wanaume wema ndio hao wanaoitwa masimp, na wanawake wema ndio hao wanaoitwa mafeminist kipi hujaelewa hapo, maana nimegundua umeuliza kama vile tayari una majibu yako ila unataka ligi, mimi nimeshaandika nilichoandika na ndio uhalisia, sasa ni juu yako wewe kukibeba au kukiacha hivyo basi wewe ndio useme ulichotaka kusema
 
OG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…