Naona ugumu mbele ya simba ikishinda nitafurahi mno,tatizo timu zetu zinaridhika wakifunga goli na wanachotaka mpira uishe,lakini wenzetu wa Africa magharibu hawapotezi mda unaweza kujisifu umeshinda ndani ya dk chache ukageuziwa kibao
Miye pamoja na ushabiki wangu kwa Simba, na chuki kubwa kwa Yanga, nahisi uwezekano wa Yanga kupita hatua hinayofuata ni mkubwa kuliko Simba Sc.
Tatizo Yanga ni kuwa wapo allergic na waarabu, hata angekutana na waarabu wa kutoka Kingolwila angepigwa.