GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Kwa Yanga hakuna tatizo sana maana ni maajabu pekee ndiyo yatakayowavusha
ifahamike kuwa maajabu pia yapo katika soka hivyo kwa mtindo huo Yanga ana
asilimia 45% ya kuvuka hatua inayofuata.
Tatizo kubwa lililoko Simba ni la Mkulima aliyenoa Upanga akaenda kujaribia
kwenye Mpapai na Mgomba kisha akajisifu kuwa upanga wake ni Mkali akaenda
kukata kisiki cha Mpingo, nawapa asilimia 15% Simba kuvuka hatua inayofuata