Nauona mwisho wa Simba na Yanga

Nauona mwisho wa Simba na Yanga

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Kwa Yanga hakuna tatizo sana maana ni maajabu pekee ndiyo yatakayowavusha
ifahamike kuwa maajabu pia yapo katika soka hivyo kwa mtindo huo Yanga ana
asilimia 45% ya kuvuka hatua inayofuata.

Tatizo kubwa lililoko Simba ni la Mkulima aliyenoa Upanga akaenda kujaribia
kwenye Mpapai na Mgomba kisha akajisifu kuwa upanga wake ni Mkali akaenda
kukata kisiki cha Mpingo, nawapa asilimia 15% Simba kuvuka hatua inayofuata
 
Naona ugumu mbele ya simba ikishinda nitafurahi mno,tatizo timu zetu zinaridhika wakifunga goli na wanachotaka mpira uishe,lakini wenzetu wa Africa magharibu hawapotezi mda unaweza kujisifu umeshinda ndani ya dk chache ukageuziwa kibao
 
Hongera sana mchambuzi. TUNAKUSHUKURU SANA NDUGU YETU MCHA MBUZI.
 
Mbona hii iko wazi kabisa Tope fc anakufa nyingi tu mchana kweupe.
 
Miye pamoja na ushabiki wangu kwa Simba, na chuki kubwa kwa Yanga, nahisi uwezekano wa Yanga kupita hatua hinayofuata ni mkubwa kuliko Simba Sc.
Tatizo Yanga ni kuwa wapo allergic na waarabu, hata angekutana na waarabu wa kutoka Kingolwila angepigwa.
 
Hakuna kitu kimenichosha hapa Tanzania kama Simba na yanga
 
Miye pamoja na ushabiki wangu kwa Simba, na chuki kubwa kwa Yanga, nahisi uwezekano wa Yanga kupita hatua hinayofuata ni mkubwa kuliko Simba Sc.
Tatizo Yanga ni kuwa wapo allergic na waarabu, hata angekutana na waarabu wa kutoka Kingolwila angepigwa.

Nilidhani waarabu wa kutoka matombo mkoani morogoro.
 
Ni kweli kuwa Simba watapata wakati mgumu sana kutinga raundi inayofuata.
Hata hivyo ni timu nzuri kwa sasa inayoweza kushindana na timu yoyote ile na chochote kinaweza kutokea. Halafu sio rahisi Mwarabu aje Dar kisha atoke salama mbele ya mnyama! Ni lazima aliwe tu, lkn je Simba atahimili kishindo cha ugenini? Yetu macho

Kwa upande wa Yanga, timu yao haiko vzr kwa kweli, lkn uzoefu unaweza kuibeba. Sema wasichukulie poa timu za Kusini mwa Africa kwa sasa, zinaupiga sana. Mnakumbuka Azam ilifanywa nini na akina Tshishimbi wa Swaziland?
 
Maadui wetu sisi Yanga hawako kusini mwa Afrika bali wako Kaskazini mwa Afrika.

Hao Rollers kutoka Botswana watakiona cha mtema kuni lazima wakae!

Daima Mbele Nyuma Mikia.
 
Back
Top Bottom