Nauza Airtel 5G SmartBox Router

Nauza Airtel 5G SmartBox Router

Nina ki IPHONE 8 nyumbani hakina kazi. Hakitumiki kwa simu.

Sasa, kwa matumizi ya nyumbani
hilo router kubwa lina nini ambacho iPhone 8 ndogo haiwezi ???

Tena kusema la ukweli iPhone 8 yangu:

1. inanambia zimebaki data ngapi, router haina screen, haina keyboard, haina interaction

2. simu inapiga kazi umeme ukikatika, router inazima

3. kasimu kako portable, unaenda nako popote inapofika laptop unapiga kazi. Router huwezi kwenda nayo kijijini

4. kasimu unaweza ukakazima ukakafunga na password watoto wasiiki abuse

Hiyo router kuuuubwa, tueleze ina nini cha mno ???????
sasa hiyo iphone 8 ni bei gani boss...au zinagawiwa bure
router inakuonesha info zote sema hujui wapi uangalizie.

una matumizi madogo ya internet ndio maana unaona simu inakufaa.

Tuishie tu hapo..
 
Nina ki IPHONE 8 nyumbani hakina kazi. Hakitumiki kwa simu.

Sasa, kwa matumizi ya nyumbani
hilo router kubwa lina nini ambacho iPhone 8 ndogo haiwezi ???

Tena kusema la ukweli iPhone 8 yangu:

1. inanambia zimebaki data ngapi, router haina screen, haina keyboard, haina interaction

2. simu inapiga kazi umeme ukikatika, router inazima

3. kasimu kako portable, unaenda nako popote inapofika laptop unapiga kazi. Router huwezi kwenda nayo kijijini

4. kasimu unaweza ukakazima ukakafunga na password watoto wasiiki abuse

Hiyo router kuuuubwa, tueleze ina nini cha mno ???????
Ukiwa na Router unapata Data Unlimited 10MbPs kwa Tsh. 70,000..

Umeme ukikatika una connect power bank unaendelea kupata Data.

Router huhitaji kujua salio maana ni Unlimited.

Router unaitumia mahali popote ambapo simu inaweza kutumia Data.. No exception
 
unaweza kuweka simu ofisini kwa ajili ya kusambaza internet?
Au Internet kwa matumizi ya nyumbani unaweza sambaza kwa simu yako?

ukiondoka hilo eneo matumizi ya internet yataendelea?
Au ukifanya mawasiliano ya kawaida internet itaendelea?

Kuna watu wanahitaji huduma ya kusambaza internet kwenye vifaa vingine eneo husika ndio maana linakuja suala la router na sio simu tena.
Hana akili huyo
 
Nina ki IPHONE 8 nyumbani hakina kazi. Hakitumiki kwa simu.

Sasa, kwa matumizi ya nyumbani
hilo router kubwa lina nini ambacho iPhone 8 ndogo haiwezi ???

Tena kusema la ukweli iPhone 8 yangu:

1. inanambia zimebaki data ngapi, router haina screen, haina keyboard, haina interaction

2. simu inapiga kazi umeme ukikatika, router inazima

3. kasimu kako portable, unaenda nako popote inapofika laptop unapiga kazi. Router huwezi kwenda nayo kijijini

4. kasimu unaweza ukakazima ukakafunga na password watoto wasiiki abuse

Hiyo router kuuuubwa, tueleze ina nini cha mno ???????
Ungekuwa unafanya za remote ungeelewa, mfano mimi ninakuwa na vikao na mabosi na nikisema niweke MB hata za elfu 50 huwa zinakata fasta nikiunga PC Internet kwa kutumia simu, unakuta katikati ya kikao nimeleft na ni kesi kubwa, ila kwa router siwazi kukatika Internet wala kukwama kwama sababu ni unlimited.

Najua mkuu umeuliza kuchangamsha genge ila nimejibu kwa faida ya wingine, pia kuhusu kutotembea nayo ni simpo sababu wana powerbank inakaa masaa 10 ikishachajiwa full, masaa kumi yanatosha sana kumaliza kazi.

Masaa 10 ni ngumu niwe sehemu nisipate pa kuchaji. Mkuu Internet ya router unlimited hauwezi fananisha na Internet ya simu.
 
Kwani wakisema unlimited wanamaanisha? Coz mi nilikua naona ingawa wanasema unlimited ila baada ya wiki internet connection inaanza kua slow vibaya mno ila ukijiunga tena unlimited inakua faster tena.

So nikaamini ni ile ya kama kwenye simu unanunua GB 1 itumike siku 3 ila ukiimaliza leo inabidi ujiunge tena GB 1.

Please enlighten me kama hii ni true unlimited
 
Mkuu mimi situmii Airtel ila natumia Voda ile ya 150k ni 50 MBPs noma sana haijawahi kushuka spidi nina mwaka na nusu sasa kazi zangu zote ni remote haijawahi niangusha zaidi ya kukatika umeme ndo maana mdau hapo nikaomba aniuzie powerbank maana Voda hawauzi pamoja na powerbank yake na nimeitafuta sana sijapata.

Ila hiyo unlimited haijawahi niangusha na sijajutia kwa mwaka na nusu sasa. Kama inakuwa slow huenda unaunga vifaa vingi, mi naunga simu 2 na PC moja tu.
 
So ukilipa 150K mwezi mzima hauna deni na mtu? Na haina limitations?
 
9
una matumizi madogo ya internet ndio maana unaona simu inakufaa.

Tuishie tu hapo..

Ukiwa na Router unapata Data Unlimited 10MbPs kwa Tsh. 70,000..

Umeme ukikatika una connect power bank unaendelea kupata Data.

Router huhitaji kujua salio maana ni Unlimited.

Router unaitumia mahali popote ambapo simu inaweza kutumia Data.. No exception

Anhaaaaa, kumbe ukiwa na router unapata data unlimited.

Kwa hiyo iphone 8 kama ukiitumia kama router haikubali kurusha internet unlimited ???

Au ni Airtel ndio hawakubali kumuuzia mtu bundle unlimited bila kuwaonyesha unamiliki router kubwa ????????????????

Ukitaka kununua bundle unlimited wanakuuliza "enhee, unaenda kulitumia na chombo gani ? kivipi" ?

Do they freaking care ????????
Why should they care ??

Watu wezi, ma criminal wa Tech companies ambao ukinunua bundle lolote lile wana wish ulisahau mpaka li expae. Iweje ukinunua unlimited data waku encourage utumie li mtambo la router kubwa kama mnara wa Airtel la kutapanya mi data yao, wamerogwa ??????

Tunataka majibu.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Zunguka tena mtaani uangalie bei chief.

Zinauzwa 110,000 na miezi inayofuata unalipa kifurushi cha 70,000 unlimited.

Nadhani ulinunua kwa bei hiyo ili ulipie kifurushi cha 70,000 kwa mwezi.
Zimeshuka lini?! Ukikutana na hizo basi usikurupuke! Ikiwezekana mwambie mwenye nayo aweke kifurushi cha 70K na ikikubali ndipo utalipa! Hoja yangu ni kwamba, nahisi hizo ni zile ambazo Airtel wanatoa FREE lakini bundles zake ni za 110K. Ukichukua ukaweka bundle ya 70K, inakugomea unless kama watu washafahamu njia ya ku-unlock
 
Nina ki IPHONE 8 nyumbani hakina kazi. Hakitumiki kwa simu.

Sasa, kwa matumizi ya nyumbani
hilo router kubwa lina nini ambacho iPhone 8 ndogo haiwezi ???

Tena kusema la ukweli iPhone 8 yangu:

1. inanambia zimebaki data ngapi, router haina screen, haina keyboard, haina interaction

2. simu inapiga kazi umeme ukikatika, router inazima

3. kasimu kako portable, unaenda nako popote inapofika laptop unapiga kazi. Router huwezi kwenda nayo kijijini

4. kasimu unaweza ukakazima ukakafunga na password watoto wasiiki abuse

Hiyo router kuuuubwa, tueleze ina nini cha mno ???????
NILISHAWAHI KUJARIBU baada ya kuona router inazingua lakini IKANIGOMEA!!
 
Hivi jamani hizi Router ukinunua hasa zile za kulipia Tsh.110,000/=Je kifurushi kikiisha na huenda ukashindwa kulipia hata miezi 3 mbele je ?itafanya kazi au utakipia mda ambao ilikaa bila kuweka bando?
 
Anhaaaaa, kumbe ukiwa na router unapata data unlimited.

Kwa hiyo iphone 8 kama ukiitumia kama router haikubali kurusha internet unlimited ???

Au ni Airtel ndio hawakubali kumuuzia mtu bundle unlimited bila kuwaonyesha unamiliki router kubwa ????????????????

Ukitaka kununua bundle unlimited wanakuuliza "enhee, unaenda kulitumia na chombo gani ? kivipi" ?

Do they freaking care ????????
Why should they care ??

Watu wezi, ma criminal wa Tech companies ambao ukinunua bundle lolote lile wana wish ulisahau mpaka li expae. Iweje ukinunua unlimited data waku encourage utumie li mtambo la router kubwa kama mnara wa Airtel la kutapanya mi data yao, wamerogwa ??????

Tunataka majibu.
INatosha mkuu, maana maelezo yote wamekupa, hii huduma wewe hauiwezi
 
Hivi jamani hizi Router ukinunua hasa zile za kulipia Tsh.110,000/=Je kifurushi kikiisha na huenda ukashindwa kulipia hata miezi 3 mbele je ?itafanya kazi au utakipia mda ambao ilikaa bila kuweka bando?
Airtel haina shida, voda utakutana na deni lako
 
aah so hapo hata kama nikiamua kuitumia nitaunga kifurushi tu na naendelea bila makato yeyote ya mda ambao sikuwa hewani
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mkuu mimi situmii Airtel ila natumia Voda ile ya 150k ni 50 MBPs noma sana haijawahi kushuka spidi nina mwaka na nusu sasa kazi zangu zote ni remote haijawahi niangusha zaidi ya kukatika umeme ndo maana mdau hapo nikaomba aniuzie powerbank maana Voda hawauzi pamoja na powerbank yake na nimeitafuta sana sijapata.

Ila hiyo unlimited haijawahi niangusha na sijajutia kwa mwaka na nusu sasa. Kama inakuwa slow huenda unaunga vifaa vingi, mi naunga simu 2 na PC moja tu.
Overall Voda ni wa moto upande wa kasi.
 
Back
Top Bottom