Jay_255
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 743
- 1,305
sasa hiyo iphone 8 ni bei gani boss...au zinagawiwa bureNina ki IPHONE 8 nyumbani hakina kazi. Hakitumiki kwa simu.
Sasa, kwa matumizi ya nyumbani
hilo router kubwa lina nini ambacho iPhone 8 ndogo haiwezi ???
Tena kusema la ukweli iPhone 8 yangu:
1. inanambia zimebaki data ngapi, router haina screen, haina keyboard, haina interaction
2. simu inapiga kazi umeme ukikatika, router inazima
3. kasimu kako portable, unaenda nako popote inapofika laptop unapiga kazi. Router huwezi kwenda nayo kijijini
4. kasimu unaweza ukakazima ukakafunga na password watoto wasiiki abuse
Hiyo router kuuuubwa, tueleze ina nini cha mno ???????
router inakuonesha info zote sema hujui wapi uangalizie.
una matumizi madogo ya internet ndio maana unaona simu inakufaa.
Tuishie tu hapo..