Jamaa kapigwa riba ya π―.. my kwa m6 huyu mkopeshaji hawezi kuionja harufu ya pepo kabisa ..kwani bajaji mpya si mil 7 hivii...??? so kuna ongezeko la mil 6+
Hakikaa mkuu...kuna siku nilikuwa sina kitu halafu na shida na helaaa nikaenda kwenye zile za kukopesha mtaani mwana anasema laki kila siku 4000 π π π π hapo nilikuwa sitegemei kupata hela soon nikaona huu ni mtego mkali snaaUkiwa na shida ya njaa Mkuu, kisha ukaoneshwa chakula kilipo, unakuwa kama kipofu. Yaani unaweza sema nipeni hiyo Bajaji hata kwa rejesho la laki kwa siku mie nitapambana kufa kupona nilete. Narudia tena, njaa si rafiki mwema...
Riba asilimia 90 π π πJamaa kapigwa riba ya π―.. my kwa m6 huyu mkopeshaji hawezi kuionja harufu ya pepo kabisa ..
Yaan hata ikitokea watu wote tukapewa ofa ya kuuona ufalme wa Muumba ,,mkopeshaji huyu hawezi kupewa ofa sheitwan mkatatili.
Hata wa mkataba sio hivyo.sema mwishoni atabaki na bajaji....so sio mbaya sana ila uwe na uwakika wa abiria na ufanye trip barabara ya lami
π π πsio poa...Hata wa mkataba sio hivyo.
Huyu ni sawa kanunua bajaj 2
Watanzania wengi hawasomi makaratasi, wao wanapigiwa hesabu za wiki au mwezi wanaziona ndogo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Fikiria uwepo wa mvua Kuna kuumwa hao wakopeshaji na makatili Sana japo mkopaji hakuzichanga vemaSema mwishoni atabaki na bajaji....so sio mbaya sana ila uwe na uhakika wa abiria na ufanye trip barabara ya lami
Bayport nlitska nimalize den bank niende bayport sababu riba ni ndogoSiyo kwa riba hiyo.
Hii ni sawa na wale jamaa BAYPORT.
Sema tu BAYPORT unapewa Pesa ila kwa hawa jamaa unapewa chombo. Ila model ya unyonyaji kwa watu maskini bila huruma ni ileile. Mungu atunusuru na huu unyonyaji kwa sababu ya umaskini wetu sisi wabongo!
na nauhakika humo ndani ya mkataba ukute kuna kipengele kinasema ukishindwa kuleta rejesho unapokonywa bajaji... au ukiwa huleti kwa muda mwisho wa siku unaweza fanya kazi mwaka mzima ukaja kupokonywaFikiria uwepo wa mvua Kuna kuumwa hao wakopeshaji na makatili Sana japo mkopaji hakuzichanga vema
Nakuomba ufanye re-view ya maamuzi yako usije jutia. Sipo hapa kuharibu biashara ya watu, ila ndugu yangu, mvuja jasho mwenzangu, nakuomba ufanye maamuzi yako kwa umakini mkubwa usije jutia hapo mbeleni..Bayport nlitska nimalize den bank niende bayport sababu riba ni ndogo
ππππOnyo Kali Sana hili..Riba bhana mbaya Sana,hao jamaa ukiambiwa wanatoka UK unaweza kuzimia,,Nakuomba ufanye re-view ya maamuzi yako usije jutia. Sipo hapa kuharibu biashara ya watu, ila ndugu yangu, mvuja jasho mwenzangu, nakuomba ufanye maamuzi yako kwa umakini mkubwa usije jutia hapo mbeleni..
139,400
Mikopo mingi watanzania hawana elimu. Mtu anakopa kujenga nyumba, analipa kwa miaka 7 ila hiyo nyumba unakuta kaijenga kwa milioni 100 wakati kwa uhalisia ni milioni 30-40π π πsio poa...
Bank ni 12% kwa watumishi.Bayport nlitska nimalize den bank niende bayport sababu riba ni ndogo
kiukweli mikopo ya bongo kuanzia mabank sijui saccos ni kisangaaa..Mikopo mingi watanzania hawana elimu. Mtu anakopa kujenga nyumba, analipa kwa miaka 7 ila hiyo nyumba unakuta kaijenga kwa milioni 100 wakati kwa uhalisia ni milioni 30-40
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kumbuka keshatanguliza Milioni 1na nauhakika humo ndani ya mkataba ukute kuna kipengele kinasema ukishindwa kuleta rejesho unapokonywa bajaji... au ukiwa huleti kwa muda mwisho wa siku unaweza fanya kazi mwaka mzima ukaja kupokonywa
Aisee ni hatarii mpaka anataka aambulie japo laki 8 itakuwa hali imekuwa ngumu kuliko alivyotarajia
Hii mikataba ya kinyonyaji riba zaidi ya 58.33% kwa mwaka,Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24
Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi
557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka
6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili
Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
Mbona bado miezi mingi sana ya kurejesha?Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu.
Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni lake ili akimaliza deni iwe yake aje pm mi nahitaji laki 8 tu kati ya milioni niliyotanguliza,kisha namkabidhi.
Karibuni na picha hizi hapa;