Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

Hapo hata ukwaju wa azam wa jero inabidi uutolee tu macho
 
Na ww umekosea...
Fanya
139400 x 2x 54= 15100000
Hapo ukiongeza 1m tena sawa na mil 16..

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Kwani ukiwa na boda boda ya kampuni haujaajiriwa..? 😅😅😅😅
 
Kuna jamaa yangu nae wanamsumbua kinyama na simu akichelewesha marejesho 🤣🤣🤣
 
Na ndiyo maana amerejesha mwezi mmoja tu akaona mziki mzito, yaani hili rejesho kama unaendesha mwenyewe hii bajaji lazima utakuwa kwenye hatari ya kusababisha ajali ukiwaza rejesho kila saa
 
Kumbuka alitanguliza milioni moja (kwa mujibu wa maelezo yake, so hapo ongeza 1M)
 
Na ndiyo maana amerejesha mwezi mmoja tu akaona mziki mzito, yaani hili rejesho kama unaendesha mwenyewe hii bajaji lazima utakuwa kwenye hatari ya kusababisha ajali ukiwaza rejesho kila saa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…