SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

Wapi nitapata soko la bata mzinga?
 

Attachments

  • 20220222_164047.jpg
    20220222_164047.jpg
    1.9 MB · Views: 20
Aim: Nauza Bata
Specie: Bukini Serbié wakubwa
idadi: Wawili (dume na jike)
Price: Dume (TZS 330,000) na Jike (TZS 300,000)
Combined Price: Ukichukua wote nakuuzia kwa 600,000/=.
Location: Makongo Juu, DAR.
Mawasiliano: 0718 102033

Nota bene: Huyu Jike anataga, as of today anaatamia mayai kumi na moja (11). Ukimlipia unabeba na mayai yake. Yaani unakua umenunua Bata 12 kwabei ya mmoja.

Kama upo DAR, ukichukua Bata wote wawili naweza kukuletea ulipo nauli utanipa 20,000 tu.

PICHA ZAO:
Huyu hapa Dume
View attachment 2279051

Huyu hapa Jike
View attachment 2279052

Hapa wamepumzika pamoja.
View attachment 2279053

Hapa wanaogelea kwenye bwawa lenye niliwajengea.
View attachment 2279054

Update: SOLD SOLD SOLD
Bukini kama bukini wakiwa ndani ya copa cabana beach

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Mleta Mada Kasema Hao Wa Sebia
Haaa Haa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka kuna jamaa walituma kondoo wadogo kutoka UK na kuwatangaza kwenye mitandao kama mbwa wale wanaitwa poodle [emoji251]
Walinunuliwa sana Japan

Ila mama mmoja mjapan ndio akawashtua wenzie na kusema Mbona habweki na hali chakula cha mbwa?
IMG_7226.jpg
 
Bata bukini wa mchongo[emoji28][emoji28][emoji28]..wewe mleta uzi utakua mfanyakazi wa Qnet sio bure.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uliuziwa laki mbili kila mmoja ukaambiwa ni Bukini siyo?
Haya bana naona umewawekea na swimming pool
[emoji28][emoji28][emoji28] akajengewa na swimming pool kabisa..sio siri jamaa aliiingizwa mkingi.

Anataka kutufanya jf maboya wenzie.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom