Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check na wazungu huwala sana kwenye Thanksgiving day.Wapi nitapata soko la bata mzinga?
Mjamaa kaona watu wanatembeza spana kaamua aokoe muda akiuzulu kama Jobo kabla ya jipu kuiva.mletamada ametupiga na kitu kizito,halafu anatutoka kwamba keshauza[emoji23][emoji23][emoji23]
Bukini kama bukini wakiwa ndani ya copa cabana beachAim: Nauza Bata
Specie: Bukini Serbié wakubwa
idadi: Wawili (dume na jike)
Price: Dume (TZS 330,000) na Jike (TZS 300,000)
Combined Price: Ukichukua wote nakuuzia kwa 600,000/=.
Location: Makongo Juu, DAR.
Mawasiliano: 0718 102033
Nota bene: Huyu Jike anataga, as of today anaatamia mayai kumi na moja (11). Ukimlipia unabeba na mayai yake. Yaani unakua umenunua Bata 12 kwabei ya mmoja.
Kama upo DAR, ukichukua Bata wote wawili naweza kukuletea ulipo nauli utanipa 20,000 tu.
PICHA ZAO:
Huyu hapa Dume
View attachment 2279051
Huyu hapa Jike
View attachment 2279052
Hapa wamepumzika pamoja.
View attachment 2279053
Hapa wanaogelea kwenye bwawa lenye niliwajengea.
View attachment 2279054
Update: SOLD SOLD SOLD
Sio bukini hao.Mbona hawana tofauti na bata wa kawaida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dahAhsanteni wakuu.
Bata wote wameuzwa.
Hawa Ndiyo Bata Bukini Tena Wengine Wanakuwa Wakali Sana
😁😄😃😀😀Mtoa mada uliuziwa hao ukafuga ukijua ni bukini? uliuziwa hela ngap?
kawawekea na swimming poolMleta Mada Kasema Hao Wa Sebia
Haaa Haa
[emoji28][emoji28][emoji28] akajengewa na swimming pool kabisa..sio siri jamaa aliiingizwa mkingi.Uliuziwa laki mbili kila mmoja ukaambiwa ni Bukini siyo?
Haya bana naona umewawekea na swimming pool