Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Salam kwenu wakuu.

UPDATES;
Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!!

Mbarikiwe!!

Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area.

Lina vyumba vitatu.

Masterroom 1

Vyumba vya kawaida -2

Sitting room

Dinning room

Kitchen na store yake.

Public toilet.

Maji ya bomba yapo hapo hapo, bomba limepita mbele ya Kiwanja.

Kumezungukwa na makazi kama inavyoonekana kwenye picha.

Umeme bado nguzo mbili kufikia kwenye Kiwanja,majirani wameshajaza fomu za maombi,wanasubiri upatikanaji wa nguzo.

Liko mita 200 toka barabara kuu ya Pangani-Tanga ambayo kwa sasa inajengwa kiwango cha lami,kutoka Posta/Bandarini hadi hapo 8km na usafiri wa daladala upo,eneo linatosha kujenga nyumba 4 za kawaida...
Bei-18mln hati yake ipo ya miaka 33.
Mawasiliano ya WhatsApp ni 0742666736.

Mimiliki ni mimi mwenyewe
IMG-20210102-WA0004.jpg
IMG-20210102-WA0003.jpg
IMG-20210102-WA0005.jpg
IMG-20210102-WA0007.jpg
IMG-20210102-WA0006.jpg
IMG-20201224-WA0003.jpg
IMG-20201224-WA0005.jpg
 
Bei rahisi sana Mkuu, Ingewezekana kuhamishia hilo boma Chuga tungefanya biashara.
 
Eneo kubwa Mkuu,waweza wekeza apartments,njia ya lami ya Pangani inapita maeneo hayo na kwa Sasa ndio maeneo ya watu wa kipato cha kati
 
Hio sehemu ni nzuri haina msongamano, ningekua na hela ningenunua lol
 
Sawa mkuu, kwa mahesabu yako, mahali iliyobakia ili hiyo mjengo imalizike inaweza gharimu pesa ngapi ?

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Mkuu imebaki renta,unapiga kozi 2 ama 3 then unapaua. Kwenye kupaua inategemea na bati utakayotumia na bati pia.

Finishing pia itategemea na madirisha mtu atakayoweka.

Mfano kwa mbao Tanga mjini baadhi wanapauaga kwa kutumia mbao za mnazi-ali mradi upate minazi iliyokomaa tu ambapo futi moja huuzwa kati ya shs 350-450.

Tofali moja shs 900 na kama ukitaka na usafiri hadi site ni kati ya shs 1150-1200.

Trip ya mchanga ni shs 90,000-110000.

I hope umepata picha
 
Hio sehemu ni nzuri haina msongamano, ningekua na hela ningenunua lol

Naam Mkuu,maeneo hayo yana upepo mzuri,bahari haipo mbali sana so breezing from the ocean- hewa safi na kumejitenga na uswazi na kwa sasa watu wa kipato cha kati ndio majority wamenunua na kujenga huko,nami niliponunua lengo lilikua kujenga apartments 3 ama 4 kutokana na lami inayojengwa na kulivyo pia
 
Mkuu imebaki renta,unapiga kozi 2 ama 3 then unapaua. Kwenye kupaua inategemea na bati utakayotumia na bati pia.

Finishing pia itategemea na madirisha mtu atakayoweka.

Mfano kwa mbao Tanga mjini baadhi wanapauaga kwa kutumia mbao za mnazi-ali mradi upate minazi iliyokomaa tu ambapo futi moja huuzwa kati ya shs 350-450.

Tofali moja shs 900 na kama ukitaka na usafiri hadi site ni kati ya shs 1150-1200.

Trip ya mchanga ni shs 90,000-110000.

I hope umepata picha
Nimekupata mkuu, kama haitapata mtu mpaka date 11 january naomba unicheki Pm tuongee , coz hapo napajua sana nilikuwa napita hapo nikienda pangani. Nimefanya kazi sana kwenye zile hoteli za wazungu zilizoko kijiji cha Sange

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
 
Nimekupata mkuu, kama haitapata mtu mpaka date 11 january naomba unicheki Pm tuongee , coz hapo napajua sana nilikuwa napita hapo nikienda pangani. Nimefanya kazi sana kwenye zile hoteli za wazungu zilizoko kijiji cha Sange

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Pamoja Mkuu, tafadhali nitumie namba zako PM
 
Salam kwenu wakuu.

Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area.

Lina vyumba vitatu.

Masterroom 1

Vyumba vya kawaida -2

Sitting room

Dinning room

Kitchen na store yake.

Public toilet.

Maji ya bomba yapo hapo hapo, bomba limepita mbele ya Kiwanja.

Kumezungukwa na makazi kama inavyoonekana kwenye picha.

Umeme bado nguzo mbili kufikia kwenye Kiwanja,majirani wameshajaza fomu za maombi,wanasubiri upatikanaji wa nguzo.

Liko mita 200 toka barabara kuu ya Pangani-Tanga ambayo kwa sasa inajengwa kiwango cha lami,kutoka Posta/Bandarini hadi hapo 8km na usafiri wa daladala upo,eneo linatosha kujenga nyumba 4 za kawaida...
Bei-18mln hati yake ipo ya miaka 33.
Mawasiliano ya WhatsApp ni 0742666736.

Mimiliki ni mimi mwenyewe
View attachment 1665385View attachment 1665386View attachment 1665387View attachment 1665388View attachment 1665389View attachment 1665390View attachment 1665395View attachment 1665396View attachment 1665397
Mkuu toa na ramani ya boma
 
Back
Top Bottom