Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

Jitambuwe

Senior Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
174
Reaction score
139
Habari wakuu.
Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C.
Engine: cc1490

Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo
- Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla yake ni laki 2 kama utayengeneza

- Gari inachemsha tatizo sikuweza kilijuwa, na ndiyo tatizo lilionifanya niipack na kupelekea baadhi ya sensa kufa.

- Muungulumo wake ni mkali kidogo, so kwamba masega yalitowa hapana yapo, ila nadhani ni kubadili tu Bomba au kulizipa mahali palipo toboka.

Hakuna matatizo mengine zaidi ya hayo. Vifaa vyoye ni vizima.
Pia Gari nimeitunza vizuri tu.

Tatizo kuu ni hilo la kuchemsha nilishidwa kulekebisha kutokana na changamoto za kifedha.

Gari ipo: Chanika - Dar Es Salaam.
Bei ya mauzo ni Mil 2.5 (Milioni mbili na laki tano)

Mawasiliano 0620306221 (Piga au Sms nitakujibu).


 
Wewe ni muungwana sana umeeleza uhalisia ulivyo
 

Kwanini umeamua kuitupa hii gari? Waandikie hao Nissan matatizo yako nao watakupa suluhisho na kuwa mwangalifu mafundi wetu hawajui kukataa kazi watakuharibia zaidi wakijifanya wanajua, kuwa na subra NISSAN NI GARI TAABU HATUNA MAFUNDI
 
Kwanini umeamua kuitupa hii gari? Waandikie hao Nissan matatizo yako nao watakupa suluhisho na kuwa mwangalifu mafundi wetu hawajui kukataa kazi watakuharibia zaidi wakijifanya wanajua, kuwa na subra NISSAN NI GARI TAABU HATUNA MAFUNDI
Ni kweli unachoongea ila ninauhitaji wa pesa ndiyo maana naiuza, vinginevyo ningekuwa nimeshaitengeneza, binafsi napenda magari ya Nissan, kwangu naona ni imara, japo baadhi ya vifaa vyake ni gharama lakini ukinunua vinakaa kwa mda mrefu, kampuni nyingine vifaa vyake vipo chini ila ukija kujumlisha gharama za leo kimehalibika umetengeneza, ni sawa tu na kumiliki Nissan, BMW au Mercedes Benz.
 


Hii gari ukipata fundi mzuri inakuwa safi kabisa, nina uhakika wewe utakuwa muhanga wa hawa mafundi wa hovyo kama wa Ilala
 
Madalali wa magari wangejifunza kuongea ukweli kama huyu jama Tanzania tungefika mimi nimependa jinsi ulivo kua muazi.....ila suluhjsha ya hizo gari ndogo ni kununua mswaki utategeneza mpaka uchoke hatuna mafundi wa wakika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…