Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

Nichek WhatsApp 0684448888 kama ipo bado
 
Madalali wa magari wangejifunza kuongea ukweli kama huyu jama Tanzania tungefika mimi nimependa jinsi ulivo kua muazi.....ila suluhjsha ya hizo gari ndogo ni kununua mswaki utategeneza mpaka uchoke hatuna mafundi wa wakika hapa.
Maswali ndio kitu gani mkuu?
 
Ni kweli unachoongea ila ninauhitaji wa pesa ndiyo maana naiuza, vinginevyo ningekuwa nimeshaitengeneza, binafsi napenda magari ya Nissan, kwangu naona ni imara, japo baadhi ya vifaa vyake ni gharama lakini ukinunua vinakaa kwa mda mrefu, kampuni nyingine vifaa vyake vipo chini ila ukija kujumlisha gharama za leo kimehalibika umetengeneza, ni sawa tu na kumiliki Nissan, BMW au Mercedes Benz.
Kwann usitafute kama 1M uipatie matibabu hiyo gari.
 
Back
Top Bottom