Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

Nichek WhatsApp 0684448888 kama ipo bado
 
Madalali wa magari wangejifunza kuongea ukweli kama huyu jama Tanzania tungefika mimi nimependa jinsi ulivo kua muazi.....ila suluhjsha ya hizo gari ndogo ni kununua mswaki utategeneza mpaka uchoke hatuna mafundi wa wakika hapa.
Maswali ndio kitu gani mkuu?
 
WhatsApp yangu ni +255742031321
Kwa kupiga simu au Sms ni +255 620306221
 
Kwann usitafute kama 1M uipatie matibabu hiyo gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…