Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

Wazee hii gari haifai kuwa uber??niichukue nimpe dereva?
 
Hii gari ukipata fundi mzuri inakuwa safi kabisa, nina uhakika wewe utakuwa muhanga wa hawa mafundi wa hovyo kama wa Ilala
Hii Gari ikishaanza kusumbua (hasa Nissan) Ni Bora inunuliwe na fundi Gari mwnyw uzoefu na stress za magari.

Mtu wa KAWAIDA Ni kujitaftia ugonjwa wa Moyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Karibuni. Gari Bado ipo
 

Attachments

  • IMG_20230527_140920_444_transcpr.jpg
    1 MB · Views: 14
  • IMG_20230527_140913_488_transcpr.jpg
    1.1 MB · Views: 11
  • IMG_20230527_140911_017_transcpr.jpg
    1,002.1 KB · Views: 16
  • IMG_20230527_140813_482_transcpr.jpg
    981.1 KB · Views: 11
  • IMG_20230527_140802_989_transcpr.jpg
    907.6 KB · Views: 15
  • IMG_20230527_140754_962_transcpr.jpg
    1,023.6 KB · Views: 13
  • IMG_20230527_140730_443_transcpr.jpg
    1.4 MB · Views: 14
Karibuni, Gari bado ipo, njoo na fundi wako tengeneza na uondoke nalo
 
shusha bei mzigo ni wa kwenda kabisa huu
Ndugu hiyo bei ni ya kawaidi kabisa, Gari bado nzuri, hizo changamoto nilizo ziweka hapo kama ningelikuwa na fedha haiwezi kuzidi Mil. 1.5 kisha nikaamuwa kuuza tena si chini ya Mil. 7 au 8, au nikaifanya kuwa uba. Gari ipo vizuri na haili mafuta kabisa, yaani issue ya kuchemsha tu ndiyo imenifanya niuze kwa sababu sina pesa ya kulekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…