Car4Sale Nauza gari Mitsubish Outlander (2009), bei ni Tsh. Mil 18

MaduhuJ

Member
Joined
Oct 7, 2024
Posts
64
Reaction score
83
Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma. Imetumika kama mwaka 1 tu na niliiagiza mwenyewe Japan kwahiyo documents zote kutoka Japan hadi za bandari ninazo.

Features
  • Full Black (body, rims, lights & full tinted).
  • 2350 cc (Petrol) na consumption ya mafuta ni hadi 13km/L.
  • 6-speed automatic transmission.
  • Manual driving options (gear shifter & paddle shifter)
  • 4WD (Auto & Lock Diff).
  • Reverse Camera.
  • Full AC.
  • ⁠Leather OG kwenye dashboard, milangoni na kwenye seats.
  • Seat heaters kwenye siti za mbele (dereva na abiria).
  • 7 seaters (2 zipo kwenye buti).
  • Funguo zipo 2 (Remote & fungua ya kawaida).
  • Subwoofer speaker kwenye boot imekuja na gari.
  • Tairi ni mpya zote ziliwekwa Feb 2023.
  • Ina Spare tyre.

LOCATION : Gari ipo Dodoma. Mtu anaweza kuikagua muda wowote.

MAWASILIANO : 0746311251
 
Kila la kheri Mkuu
 
Wafanyabiashara Wote wanatakiwa wakutumie Wewe kutangaza Biashara zao kwani umeweka taarifa zote ambazo mnunuzi anahitaji kufahamu,haina haja ya Maswali Mengi hongera sana,Wenye uhitaji na hii Gari wachukue Mapema tu !
Nashukuru sana na hata bei nimeweka ambayo ni fair ili mazungumzo yasiwe marefu sana na mteja. Anayehitaji anaruhusiwa kuikagua muda wowote.
 
Gari nazikubali sana hizi.. hongera mkuu na kila la kheir hii na taarifa ulivyoziweka haichukui muda kupata mteja
Ni gari nzuri sana. Haijawahi kunisumbua kwenye issue yoyote na ina nguvu sana barabarani. Pia nina rafiki zangu watatu wenye hizi gari na hakuna hata mmoja ambaye alishawahi kuilalamikia hii gari kwenye issue yoyote. Shukrani kwa baraka zako! 🙏🏾
 
Hii sasa ndio tofauti ya matangazo kati ya mmiliki wa gari anaejitambua na wale madalali njaa! hongera mkuu, gari nzuri, tangazo murua!
Nashukuru sana kwa mrejesho. Maelezo yangu yamelenga kumfanya mteja aitambue hali ya gari hata kabla ya kuiona na kuikagua maana naamini hali ya gari yangu na sina chochote cha kuficha.
 
Tangazo Zuri ila hapo unaposema imetembea km 18000 tu wakati ina km 150000 sio sawa.Mwendo iliyotembea ni jumla ya km 150000 haijilishi ilitembea nchi gani
 
Tangazo Zuri ila hapo unaposema imetembea km 18000 tu wakati ina km 150000 sio sawa.Mwendo iliyotembea ni jumla ya km 150000 haijilishi ilitembea nchi gani
Nashukuru mkuu kwa mrejeshi wako. Nilichomaanisha hapo ni kuwa “nimeitembelea” na sio ‘imetembea’. Mara nyingi huwa tunajali KM zilizotembelewa TZ kwasababu ya hali ya barabara zetu na aina ya udereva wetu waTanzania. Nitaiedit! 👍🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…