MaduhuJ
Member
- Oct 7, 2024
- 64
- 83
Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma. Imetumika kama mwaka 1 tu na niliiagiza mwenyewe Japan kwahiyo documents zote kutoka Japan hadi za bandari ninazo.
Features
LOCATION : Gari ipo Dodoma. Mtu anaweza kuikagua muda wowote.
MAWASILIANO : 0746311251
Features
- Full Black (body, rims, lights & full tinted).
- 2350 cc (Petrol) na consumption ya mafuta ni hadi 13km/L.
- 6-speed automatic transmission.
- Manual driving options (gear shifter & paddle shifter)
- 4WD (Auto & Lock Diff).
- Reverse Camera.
- Full AC.
- Leather OG kwenye dashboard, milangoni na kwenye seats.
- Seat heaters kwenye siti za mbele (dereva na abiria).
- 7 seaters (2 zipo kwenye buti).
- Funguo zipo 2 (Remote & fungua ya kawaida).
- Subwoofer speaker kwenye boot imekuja na gari.
- Tairi ni mpya zote ziliwekwa Feb 2023.
- Ina Spare tyre.
LOCATION : Gari ipo Dodoma. Mtu anaweza kuikagua muda wowote.
MAWASILIANO : 0746311251