Nauza hereni za dhahabu....

Huwa najiuliza mno huyo mtu alipita nazo vipi maana nilikuwa naishi peke yangu na sehemu ninayoweka hata angeingia mtu sio rahisi kuchukua.....cheni pia ya dhahabu ilipotea ndani humo humo. Sijui kuna kitu nyuma yake au vipi.
Nliwahi sikia eti dhahabu ukiziacha tu hapo huwa zinadisappear, sijui ukweli wa hili jambo....sijui sababu za kupotea.
 
Hope ushauza, sorry Sasa hiyo gram sio nzito sana kufanya masikio kuvutika Kwa chini?
Samahani lkn
 
Tulia acha tamaaa we umepewa zawadi
 
Nilichogundua wewe siwezi kukupata Wala hauwezi kuwa mke wangu kumbe una hela Sana .

Toka leo nitakuita dada naomba uniite Kaka .
Kwaheri dada Evelyn Salt
 
M
Upo wapi kwani?😀😀Mwalimu haujapata deal la kuandikisha uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…