Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #41
Nliwahi sikia eti dhahabu ukiziacha tu hapo huwa zinadisappear, sijui ukweli wa hili jambo....sijui sababu za kupotea.Huwa najiuliza mno huyo mtu alipita nazo vipi maana nilikuwa naishi peke yangu na sehemu ninayoweka hata angeingia mtu sio rahisi kuchukua.....cheni pia ya dhahabu ilipotea ndani humo humo. Sijui kuna kitu nyuma yake au vipi.