Nauza hii phone 13 Pro

Ndio ananunua na deni japokua sio lazima kulipa

Anaweza akatumia kwa kutumia Gevey card(Inapachikwa kwenye line yako) na inafanya kazi kama kawaida
Kuset hiyo Gevey card sio issue ndogo na ikitokea umelose network, inabidi kufwata thw whole process to secure network.

Ataenunua hiyo cm n kujilipua tuu not otherwise
 
Mkuu, tafadhali endelea kulipa deni lako kwa hiyo simu na sio kutaka kumbambikia mtu mwingine deni. Kwani uliichukulia nini kwa mkopo ikiwa hauko tayari kuilipia deni? Kama vipi ipark, yaani itelekeze.
 
simu sio ya mkopo,ni bora uulize kuliko kukurupukia kitu usichokielewa
 
Mkuu, tafadhali endelea kulipa deni lako kwa hiyo simu na sio kutaka kumbambikia mtu mwingine deni. Kwani uliichukulia nini kwa mkopo ikiwa hauko tayari kuilipia deni? Kama vipi ipark, yaani itelekeze.
Simu sio ya mkopo mkuu na habambikiwi mtu deni hapa
 
Kuset hiyo Gevey card sio issue ndogo na ikitokea umelose network, inabidi kufwata thw whole process to secure network.

Ataenunua hiyo cm n kujilipua tuu not otherwise
Gevey ipo kwenye hii simu na inapiga kazi kama kawa,karibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…