politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 385
- 299
🤣Kwa hiyo Comrade atakayenunua hiyo simu ananunua na hilo deni, au sijaelewa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Kwa hiyo Comrade atakayenunua hiyo simu ananunua na hilo deni, au sijaelewa!!
Kuset hiyo Gevey card sio issue ndogo na ikitokea umelose network, inabidi kufwata thw whole process to secure network.Ndio ananunua na deni japokua sio lazima kulipa
Anaweza akatumia kwa kutumia Gevey card(Inapachikwa kwenye line yako) na inafanya kazi kama kawaida
Kwanini usilipe wewe Hilo deniDeni linalipika tu mkuu na unaweza kutumia bila kulipa deni
simu sio ya mkopo,ni bora uulize kuliko kukurupukia kitu usichokielewaMkuu, tafadhali endelea kulipa deni lako kwa hiyo simu na sio kutaka kumbambikia mtu mwingine deni. Kwani uliichukulia nini kwa mkopo ikiwa hauko tayari kuilipia deni? Kama vipi ipark, yaani itelekeze.
Simu sio ya mkopo mkuu na habambikiwi mtu deni hapaMkuu, tafadhali endelea kulipa deni lako kwa hiyo simu na sio kutaka kumbambikia mtu mwingine deni. Kwani uliichukulia nini kwa mkopo ikiwa hauko tayari kuilipia deni? Kama vipi ipark, yaani itelekeze.
Naiuza hivo hivoKwanini usilipe wewe Hilo deni
Gevey ipo kwenye hii simu na inapiga kazi kama kawa,karibu mkuuKuset hiyo Gevey card sio issue ndogo na ikitokea umelose network, inabidi kufwata thw whole process to secure network.
Ataenunua hiyo cm n kujilipua tuu not otherwise
Lipa hilo deni ndio uuze mkuu.Apple Iphone 13 pro 128 GB
•Face id✅
•Battery health 81
•Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked)
Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi
Price 950,000/=
Kimara Dar es salaam
0757187238View attachment 3210754