Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mwenyewe nimechoka. Huyu ngosha huyu... Mungu anamuona wallahmambo yamekuwa magumu kweli sasa si uwauzie mtaani kwenu jamani mtu utamuuzia 4000 halafu asafirishe tena khaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe nimechoka. Huyu ngosha huyu... Mungu anamuona wallahmambo yamekuwa magumu kweli sasa si uwauzie mtaani kwenu jamani mtu utamuuzia 4000 halafu asafirishe tena khaaaaaa
dume zima umefulia mpaka huna buku nne?patheticNani amekuomba buku nne nenda kampe mama yako au bibi yako ndio ukawagegede.
Stupid person
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mkoani unatuma?
Nimetuma pm mkuuMkuu, kama sababu ya kuliuza ni kupata hiyo pesa, naomba unipe namba yako ya simu pm nikununulie wewe mwenyewe hilo jaba. Ila kama unaliondoa kwa sababu tu hulihitaji ama unahitaji nafasi iliyolikalia, hakuna neno. Sisi wote ni watz na hii ni nchi yetu. Niko serious kabisa.
noma sana aiseeMwenyewe nimechoka. Huyu ngosha huyu... Mungu anamuona wallah
mbona umekuwa mkali au umeiba kweli?Pumbavu huna akili
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] longlive jfMwisho kabisa ngapi
Hhahahahaha... Mwingine anataka eti apunguziwe had 2,000[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Humu ndani ni shida Aseeh!
Unaweza kuingia uko so serious ukaishia kufa mbavu tu!
Halafu kuna mtu kauliza kuasi cha mwisho kabisa [emoji1]
Hhahahahaha... Mwingine anataka eti apunguziwe had 2,000[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahaha haua mkuu all the bestYaani nipite nyumba zote kutangaza hadi nipate anayehitaji ili wote wajue pia kumbuka naweza kosa mteja.