Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Mkuu, kama sababu ya kuliuza ni kupata hiyo pesa, naomba unipe namba yako ya simu pm nikununulie wewe mwenyewe hilo jaba. Ila kama unaliondoa kwa sababu tu hulihitaji ama unahitaji nafasi iliyolikalia, hakuna neno. Sisi wote ni watz na hii ni nchi yetu. Niko serious kabisa.
Nimetuma pm mkuu
 
mambo yamekuwa magumu kweli sasa si uwauzie mtaani kwenu jamani mtu utamuuzia 4000 halafu asafirishe tena khaaaaaa
Yaani nipite nyumba zote kutangaza hadi nipate anayehitaji ili wote wajue pia kumbuka naweza kosa mteja.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Humu ndani ni shida Aseeh!
Unaweza kuingia uko so serious ukaishia kufa mbavu tu!
Halafu kuna mtu kauliza kuasi cha mwisho kabisa [emoji1]
Hhahahahaha... Mwingine anataka eti apunguziwe had 2,000[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom