Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

Daktari W Sindabhalla

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
600
Reaction score
580
Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM.
Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice.
Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii.
Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
IMG_20230128_071604_004.jpg
IMG_20230128_072911_714.jpg
IMG_20230128_074153_658.jpg
IMG_20230128_082648_975.jpg
 
Mkuu vp hati miliki kutoka wizarani
Mkuu,
kwa ufupi ni kwamba Eneo letu lote la Engo hadi kwa Mareiza yote HAPAJAPIMWA.
Viwanja tunakatiana na tunauziana chini ya Mwanasheria ama utaratibu utakaoupendekeza mnunuzi.
Na kiukweli, Eneo la Engosheratoni hadi kwa Mareiza, viwanja vinakatwa kwa Milioni 3 Hatua 10 x 10
Na Milioni 6 Kwa Hatua 10x20.
Mimi nauza Bei hiyo kwasababu ya changamoto za kielimu ya juu za Kijana wangu.
Karibuni kwa Biashara.
 
Distance from city center?
Engosheraton ni njia ya kuelekea USA River? Unapita Tengeru
Kutoka Arusha mjini, pale Clock tower Hadi Engo Stand ya daladala, kupitia njia Ya UNGA LTD na Sinoni,,,,,inapata KM 6.
Na kutoka Engo stand hadi site, ni takribani Mita 700.
Siyo njia ya USA, Ni njia ya UNGA LTD au njia ya MURIETI kupitia Uswahilini Kutokea soko la Semunge.
 
Umbali gani kutoka katikati ya mji...?
Kutoka Arusha mjini, pale Clock tower Hadi Engo Stand ya daladala, kupitia njia Ya UNGA LTD na Sinoni,,,,,inapata KM 6.
Na kutoka Engo stand hadi site, ni takribani Mita 700.
Siyo njia ya USA, Ni njia ya UNGA LTD au njia ya MURIETI kupitia Uswahilini Kutokea soko la Semunge.
 
Mkuu mbona hayo maeneo ni mjini kabisa halafu unauza BEI RAHISI? Naomba Mungu atende muujiza upate hela utatue tatizo lako bila kuuza kiwanja chako.
Binafsi Niikinunua Mwaka 2010 kwa Tsh 10.3 MIL. kwa ndugu mmoja ambaye ni Mmiliki wa Shule Hapa Arusha.
Nimetangaza kukiuza kwa haraka ili kutatua changamoto kwa ML 9 & 8 wala sikupata Mnunuzi.
Sasa nimekubali kukiuza kwa hasara zaidi ili nimudu gharama za Elimu za kijana wangu na mengineyo madogomadogo.
Nimeshusha bei Mno kwakuwa Njia nyingine za kuleta kipato toshelevu kwa hayo zimefeli kabisa.
Asante kwa Dua Yako pia.
 
Back
Top Bottom