Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

Hichi kiwanja hata milioni 9 unauza kabisa tafuta wastaafu kadiri uwezavyo tena hapo hapo Arusha au Moshi ni dakika za kuhesabu , kama upo interested niambie nikutafutie mteja within a short time tumeuza.
 
Binafsi Niikinunua Mwaka 2010 kwa Tsh. 10.3 ML kwa ndugu mmoja ambaye ni Mmiliki wa Shule Hapa Arusha.
Nimetangaza kukiuza kwa haraka ili kutatua changamoto kwa ML 9 & 8 wala sikupata Mnunuzi.
Sasa nimekubali kukiuza kwa hasara zaidi ili nimudu gharama za Elimu za kijana wangu na mengineyo madogomadogo.
Nimeshusha bei Mno kwakuwa Njia nyingine za kuleta kipato toshelevu kwa hayo zimefeli kabisa.
Asante kwa Dua Yako pia.
Kiwanja kipo mjini kabisaa na bei ni rafiki naamini utauza ili utatue shida iliyopo mbele yako kwa Mpambanaji utapata tuu kiwanja kingine maana hiyo hela unafanyia kazi ya baraka kwa kijana wako...nawapa taarifa wanunuzi wa viwanja waliopo mjini kati nadhani watakucheki...
 
Shule yangu hiyo.. miaka hiyo nasoma mika ka 17 iliyopita kulikuwa ni vichaka watu ardhi kama hiyo walikuwa wananua kwa laki tano...

Mvua ikinyesha udongo mfinyanzi hakupitiki..

Hakika Ardhi ni mali....
Ni kweli Mkuu, ardhi ni Mali sana. Engo palikuwa pahoyo sana siku za nyuma. ila kwasasa ndio sehemu Nzuri na tulivu ambayo haina hekaheka za makelele kama mitaa mingine Hivyo unaweza kupumzika na kushusha stress chini ya kijani kibichi.
Engo hadi kwa mareiza pana miti mingi yenye kulifanya eneo hilo kuwa tulivu na lenye Hewa safi.
 
Hichi kiwanja hata milioni 9 unauza kabisa tafuta wastaafu kadiri uwezavyo tena hapo hapo Arusha au Moshi ni dakika za kuhesabu , kama upo interested niambie nikutafutie mteja within a short time tumeuza.

🤣🤣jirani na shule lol hakifai kwa makazi
Hakuna utulivu
Labda uweke frem za biashara
Hiyo ni Direction tu Kiongozi wangu.
Sijamaanisha kupakana na shule. ila ni umbali wa mita 400 kutoka shule ya sekondari ya Edmund Rice.
 
Hichi kiwanja hata milioni 9 unauza kabisa tafuta wastaafu kadiri uwezavyo tena hapo hapo Arusha au Moshi ni dakika za kuhesabu , kama upo interested niambie nikutafutie mteja within a short time tumeuza.
Tafadhari Nisaidie Mkuu, Nipo radhi kabisa kwa hilo.
Na uwe na amani kuchukua kiasi chochote kitakachozidi Milioni 7.
Kazi yako haitakuwa Bure.
 
Kiwanja kipo mjini kabisaa na bei ni rafiki naamini utauza ili utatue shida iliyopo mbele yako kwa Mpambanaji utapata tuu kiwanja kingine maana hiyo hela unafanyia kazi ya baraka kwa kijana wako...nawapa taarifa wanunuzi wa viwanja waliopo mjini kati nadhani watakucheki...
Asante kwa ujumbe wako mkuu, na Nikushukuru kwa ushirikiano wako pia. Naamini Ukiwajuza watanitafuta na kuja kukikagua na hatimaye yupo mmoja atanunua.
 
Back
Top Bottom