Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
Nimeweka namba yangu ya simu Mkuu ili tuwasiliane kuona tunapoweza kuishia.Hakuna ku bargain? Na kulipa kwa installment je?
Nimeweka picha kidogo Mkuu ili kuonyesha Njia hadi unafika kwa kiwanja, na jinsi paliyo jengeka,,,,,kwamba hauwezi kushindwa kujenga.hilo si tindiga mkuu...
hicho kiwanja kinanjia ya kuingilia au ndio yale ya wameru kuanza kuziana njia
Mkuu,Mkuu vp hati miliki kutoka wizarani
Hakuna lisilowezekana, tukiwasiliana.Hakuna ku bargain? Na kulipa kwa installment je?
Distance from city center?Hakuna lisilowezekana, tukiwasiliana.
Kutoka Arusha mjini, pale Clock tower Hadi Engo Stand ya daladala, kupitia njia Ya UNGA LTD na Sinoni,,,,,inapata KM 6.Distance from city center?
Engosheraton ni njia ya kuelekea USA River? Unapita Tengeru
Kutoka Arusha mjini, pale Clock tower Hadi Engo Stand ya daladala, kupitia njia Ya UNGA LTD na Sinoni,,,,,inapata KM 6.Umbali gani kutoka katikati ya mji...?
Engo pamejengeka vizuri Mkuu, Njia ni nzuri na zinapitika wakati wote.hilo si tindiga mkuu...
hicho kiwanja kinanjia ya kuingilia au ndio yale ya wameru kuanza kuziana njia
Nina kijana yupo elimu ya Juu kozi za afya. huyo ndiye napambana kwaajili yake. Na ndio maana nimeshusha bei Mno.Ukishauza tuwasiliane tufanye biashara Moja mkuu
Au
Unamgonjwa
Nina kijana yupo elimu ya Juu kozi za afya. huyo ndiye napambana kwaajili yake.Kwa nini unakiuza?
Binafsi Niikinunua Mwaka 2010 kwa Tsh 10.3 MIL. kwa ndugu mmoja ambaye ni Mmiliki wa Shule Hapa Arusha.Mkuu mbona hayo maeneo ni mjini kabisa halafu unauza BEI RAHISI? Naomba Mungu atende muujiza upate hela utatue tatizo lako bila kuuza kiwanja chako.