Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu sana angeweka na picha za ndani ili wateja waithaminishe kwa uzuriMwenye gari alikataza kupiga picha za ndani? Kwani
Gari nzuri sana..sema akianza kusumbua utajutaa alinisumbua sana huyu mutu au sijui kwa vile sina pesa[emoji16] nilikuwa naenda mkoa x aisee niligeuka fundi kila mara tairi limeisha upepo neh ...na upepo unaisha sehem za hatari hatari tu.....kijana nimebadili id kibajajitz hapa[emoji16][emoji16]View attachment 2673700Hela sina ila unyama
Kwa wanaojua magari hicho ni chuma tatizo beiBado kuna watu wananunua brevis?
Yeye ni Dalali.Brevis ni gar ambayo haiuziki kirahisi rahisi Kama vipi wewe komaa nayo mwenyewe.Labda uwapate jamaa wa madini
Critical thinker hawezi nunua
iyo ni kwa safari ndefu tu kwa town uongo
Sio Japan ukienda pale Jan Jan Japan kwenye Yard yao unapata imeenyooka hawa madalali hawa.15m mpya 16m kutoka Japan tofauti ni ndogo sana uwe serious
Dalali anataka ale karibu sawa na boss! Shida haswa....15m mpya 16m kutoka Japan tofauti ni ndogo sana uwe serious