70,000 ninunue shuka..?? Acha Masikhara aisee, hebu kula 10,000.
Kaka shuka zinatofautiana ubora ndugu yangu. Ya elfu kumi unaweza ukapata ila ukifua mara moja ushaichukia. Ila kwa ushauri kama hiyo ndio budget yako, usisite kutafuta ya mtumba utapata mazuri bila foronya.70,000 ninunue shuka..?? Acha Masikhara aisee, hebu kula 10,000.
NashukuruKila kitu kina wateja wake mkuu, wewe uwezo wako elf 10 na ni pesa nyingi sana hiyo. Ila wapo wanaohitaji mashuka ya elf 70 na hata mil 1. Kwa hyo usiumie roho sana pambana na hali yako.
Asante..
Ila ww ndugu yangu nna imani unafahamu njia sahihi ya kutunza mashuka. Ukihitaji nichekHongera sana na bidhaa nzuri. Tatizo la bongo tunafua kwa kufikicha kwa mikono tena kwa sabuni zenye detergent nyingi ukiiweka sabuni ya unga kwenye maji mpaka unasikia yamekuwa ya moto sasa ukifua mara moja zinabaki kuwa "flat screen"
Habari yako mkuu. Kuna hayo ya 45k utapata shuka, duvet cover ambalo pia unaweza litandika kama shuka na foronya nne. Ukihamasika nitafuteme budget yangu ni 40k mkuu
Ila unaweza kukaa baa siku moja ukanywa pombe ya 100,000!70,000 ninunue shuka..?? Acha Masikhara aisee, hebu kula 10,000.
Ndio ndugu yangu sahihi kabisa. Ila kuna mzigo umeingia leo ni shuka 2 na foronya nne na quality ni nzuri zaidi kwa elfu 65. Ukihitaji nichek nakuletea zote uthaminishe au uje dukani kkoo, mtaa wa swahili na mchikichini. KaribuKama nimekuelewa vizuri:
Unamaanisha shuka 2pc, pazia 2pc na foronya 4pc kwa 70,000/=??
Pole nmechelewa kukujibu kwa maana sikupata muda wa kuyatandika. Nimebeba machacbe na kukujaribishia mkuuTupia picha za vitanda vya ma getho yetu, ili tuone linavyokaa.
Hizi za 65 hazina pazia?View attachment 762150 View attachment 762151 View attachment 762151
Ndio ndugu yangu sahihi kabisa. Ila kuna mzigo umeingia leo ni shuka 2 na foronya nne na quality ni nzuri zaidi kwa elfu 65. Ukihitaji nichek nakuletea zote uthaminishe au uje dukani kkoo, mtaa wa swahili na mchikichini. Karibu
Hazina ndugu yangu. Quality yake ni nzuri zaidi ukilinganisha na yale yenye pazia. Na kuna haya ya 60 elfu. Na yenyewe ni pure cotton na ukubwa ni 7*8, hautojutia. Karibu.Hizi za 65 hazina pazia?