Nauza mke wangu

Nauza mke wangu

Status
Not open for further replies.

TOWASHI

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
294
Reaction score
181
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single

Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile nimefikia uamuzi huu. I can go down hata kwa chips mayai nitashukuru.

Mnunuzi lazima asaini na kukubaliana na kipengele kuwa “Goods once bought are not returnable”

Nakaribisha ofa
 
Umaarufu unatafutwa hadi humu jamvini? All the best mkuu utafanikiwa siku moja
 
Weka wasifa wake mkuu!portable,anajua kukata kiuno,mweupe mweusi mnene mwembamba msafi etc
 
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single

Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile nimefikia uamuzi huu. I can go down hata kwa chips mayai nitashukuru.

Mnunuzi lazima asaini na kukubaliana na kipengele kuwa “Goods once bought are not returnable”

Nakaribisha ofa

do!hii funga mwaka
tuwekee picha yake
 
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single

Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile nimefikia uamuzi huu. I can go down hata kwa chips mayai nitashukuru.

Mnunuzi lazima asaini na kukubaliana na kipengele kuwa "Goods once bought are not returnable"

Nakaribisha ofa

wewe si towashi mke wa nini
 
toka lini mke akauzwa TOA UJINGA WAKO HAPA!
 
You must be the genious of the year.
Tena ongeza na kipengele kuwa hata kama hana hela waweza badilishana akakupa jogoo bora ukajinywee supu ya jogoo ku-mark end of ur misery.
 
Mwenyewe ameshajiuza hadi basi nadhani na yeye anakutafutia soko
 
Tuwekee picha na C.V yake kwa undani. Kipengele cha weaknesses na strengths kisikosekane
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom