Nauza paka wa nyumbani

Nauza paka wa nyumbani

Edit: anaejua mlimani city wanapouza pets / paka wakizungu connection please au sehemu nyengine yoyote
 
Masihara kando

Kwa level yangu ya maisha siwezi ishi na mnyama wa kufugwa. Gharama za madawa, chanjo na chakula siwezi kumudu.

Hata nikitoa elfu tatu nikalazimisha kuishi naye hapa kwenye chumba cha kupanga ni nitamtesa tu. Kuna siku nitaondoka sirudi hadi wiki moja ipite na hata nakua sijui kama huko ninapoenda nitaondokea huko huko.
Paka huwa haishi kwa msela
 
Back
Top Bottom