INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

Ona sasa Shemeji.

Uliyekuwa unapigia chapuo kakimbia. Nakuonya tena shemeji, muache mdogo wako atulie. Usishadadie mambo ya kupewa vizawadi na mijidume mingine.

Niambie mimi, ntamnunulia.

Watu8 kaa mbali na Depal
😂😂😂
 
Ona sasa Shemeji.

Uliyekuwa unapigia chapuo kakimbia. Nakuonya tena shemeji, muache mdogo wako atulie. Usishadadie mambo ya kupewa vizawadi na mijidume mingine.

Niambie mimi, ntamnunulia.

Watu8 kaa mbali na Depal
Kuanzia leo nitablock watu wote wanaomsogelea mdogo wangu

Sema lingine Shemeji
 
WATU WANATUMIA FURSA SABABU YA UJINGA WA WATU KUWA MKUBWA SANA. KABISA MTU ANAENDA NUNUA ZAWADI SABABU YA STUPID THING LIKE VALENTINE?WAJINGA NDIO WALIWAO.
SASA OLE WAKO USINUNULIE HIYO PACKAGE UKANILETEA ZAWADI, HAIWEZEKANI NAKULELEA MTOTO WEWE UPO TUU. TENA NIMESIKIA WIKI HII UMEUZA SANA MAEMBE SOKONI PALE.

Halafu punguza makasiriko kwenye biashara za watu unajiaibisha. Ipo siku na wewe utaacha kuuza maembe utakuwa na biashara ya kutangaza hapa JF.
 
Anauza maembee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…