Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hamna. Silver?
Au ile mixed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna. Silver?
Si ndio 8people 😂Ni Rolex tu nanunua, tena anafanyiwa delivery mimi hata simsogelei mchuchu wako
Mixed zipoHama. Silver?
Au ile mixed
The mixed one 😗Mixed zipo
Nmetuma picha zote hapo sijui zinareflect vip hukoView attachment 2503699View attachment 2503700View attachment 2503701
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆And it's called teamwork, safi sana Watu8
OkayThe mixed one [emoji10]
SASA OLE WAKO USINUNULIE HIYO PACKAGE UKANILETEA ZAWADI, HAIWEZEKANI NAKULELEA MTOTO WEWE UPO TUU. TENA NIMESIKIA WIKI HII UMEUZA SANA MAEMBE SOKONI PALE.WATU WANATUMIA FURSA SABABU YA UJINGA WA WATU KUWA MKUBWA SANA. KABISA MTU ANAENDA NUNUA ZAWADI SABABU YA STUPID THING LIKE VALENTINE?WAJINGA NDIO WALIWAO.
Hasemi mbonaWe hutaki kumnunulia??
Anauza maembee??SASA OLE WAKO USINUNULIE HIYO PACKAGE UKANILETEA ZAWADI, HAIWEZEKANI NAKULELEA MTOTO WEWE UPO TUU. TENA NIMESIKIA WIKI HII UMEUZA SANA MAEMBE SOKONI PALE.
Halafu punguza makasiriko kwenye biashara za watu unajiaibisha. Ipo siku na wewe utaacha kuuza maembe utakuwa na biashara ya kutangaza hapa JF.
Wewe humu mie sijawahi kutumika sema pole . Kabla sijakujumlisha kwenye zile maiiti ukawa wa kumiHiyo papuchi yako ina tabu sana..
Inajua midulinge kibao ya kila aina.
🤣🤣 dah nyiee
Utaona
Hata sijui ndugu yangu... Nina gari moja lina nafasi kubwa ndani. Nitakuwa napita nalo Bar siku ya Valentine nakodisha watu kuzungumzia ndani ya gari kwa dk 15 tsh 5,000.🤣🤣🤣🤣🤣wewe unakwama wapi?
Ndio anauza matunda makumbusho stendi pale au mbezi mwisho sokoni.Anauza maembee??