Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mkuu Engonga uliadimika jukwaani ulikuwa wapi kakaChukua 12m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Engonga uliadimika jukwaani ulikuwa wapi kakaChukua 12m
Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
Ukaribu wa kanisa kwa mtazamo wangu utakuharibia soko. Mara nyingi madhara yake huonekana baadaye. Kila lakheri mkuu.Yes, Tegeta A kanisa la Wasabato mita 10kumi baada ya kulipita kanisa mkono wa kushoto kinapakana na ukuta mpya unaojengwa yaani baada ya ukuta huoo
Ni Kweli lakini natumia kama alama ya kufika pale. Ukipaona ni tofauti sana. Asante kwa angalizoUkaribu wa kanisa kwa mtazamo wangu utakuharibia soko. Mara nyingi madhara yake huonekana baadaye. Kila lakheri mkuu.