zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
MmmhNAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA KUKU VIWILI...BANDA LA MFANYAKAZI CHUMBA NA SEBULE....ENEO LILILOBAKI LIPO WAZI HUWA NALIMA UFUTA NA MUHOGO.
SHAMBA LIPO BUNGU ,KIBITI PWANI. NAKUBALI MALIPO HATA KWA AWAMU MBILI.
KWA MUITAJI TUWASILIANE PM
Mbona unaguna mzeeMmmh
Ndio Mzee wafanyakazi wanakaa bila tatizoDuu na nyumba juu??
Vyote hivyo kwa 4M?Mbona unaguna mzee
Ndo maana imeandikwa apo ni shida za haraka tu...too good to be true! Hiyo investment uliyotaja hapo imepita 4m sana.
NAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA KUKU VIWILI...BANDA LA MFANYAKAZI CHUMBA NA SEBULE....ENEO LILILOBAKI LIPO WAZI HUWA NALIMA UFUTA NA MUHOGO.
SHAMBA LIPO BUNGU ,KIBITI PWANI. NAKUBALI MALIPO HATA KWA AWAMU MBILI.
KWA MUITAJI TUWASILIANE PM
Indeed.Too good to be true
Sawa Mkuu nakutumiamitumie no zako
Ndio Mkuu,karibu sanaVipi mkuu umiliki unao wa hzo ekali
Kua seriousVyote hivyo kwa 4M?
Usitutanie ongeza bei basi.........ili tushawishike.
Amen,asante sana mkuuAisee unauza bei nafuu sana karibu sawa na bure. Shida ni kitu kibaya huleta umaskini. Nakuombea dua upate namna nyingine ya kutatua shida yako usiuze shamba.
Okay mkuu ngoja niwe serious...........lakini Ekari 20 una ijua ukubwa wake?Kua serious
Inaonekana haujui bei za Mashamba kulingana na sehemu husika,mbona mengi tu pengine wanauza eka moja laki mbili na nusu mpaka laki mbili ,sijui unachobishana ni nini haswa ,ebu uliza uliza kama una watu kule alafu ulete mrejeshoOkay mkuu ngoja niwe serious...........lakini Ekari 20 una ijua ukubwa wake?
Yaani ekari moja kwa laki mbili na mazao juu na nyumba ndani yake.