Plot4Sale Nauza shamba ekari 20 kwa milioni 4

Plot4Sale Nauza shamba ekari 20 kwa milioni 4

Una hati gani za umiliki wa shamba hilo?
 
Duuuuh...no picha za shamba, hakuna maelezo ya kutosha!

BTW umepata client or bado?
 
Sidhani kama kijiji kinatoa hati miliki, ila ninachofahamu ni kupitia sheria ya ardhi ya kijiji namba 4 na 5 ya mwaka 1999 kama sikosei mwananchi anaweza kuomba au kujaza fomu maalumu za kuomba hati miliki za kimila, na hapo mtendaji wa kata na kama ikishapitishwa na mkutano mkuu wa kijiji, afisa ardhi wa wilaya huja kusanifu na kupima, na baada ya mchoro kumalizika hupelekwa kwa kamishna wa ardhi. Ikishagongwa muhuri wa moto unakabidhiwa hati yako inayojulikana hati miliki ya kimila na hii kamati ya ardhi ya kijiji huzitoa wilayani na kuja kuzileta ofisi za kijiji. Kama usingekuwa na shida ya haraka ingekuwa vizuri bora kukopa benki hata kama milioni 6 au 8 kwasababu shamba linamananasi pia kisha hata kama wangelipiga bei unajua angalau kidogo kuliko kuliuza milioni 4
 
Inaonekana haujui bei za Mashamba kulingana na sehemu husika,mbona mengi tu pengine wanauza eka moja laki mbili na nusu mpaka laki mbili ,sijui unachobishana ni nini haswa ,ebu uliza uliza kama una watu kule alafu ulete mrejesho
Tatizo wachangiaji wengi hawana rejea za maeneo mbalimbali ya nchi, rejea yao ni bei za Dar.
 
Ilikuwa bora sana,hata ukauza Heka 5 au 10

ili kutatua tatizo lako

Kama kweli,unamalengo marefu na maarifa
 
Ushauri wangu kwako

Uza nusu kwa Bei hiyo

usijekujuta Mkuu

Mola akufanyie wepesi popote ulipo
 
Back
Top Bottom