Plot4Sale Nauza shamba ekari 20 kwa milioni 4

Plot4Sale Nauza shamba ekari 20 kwa milioni 4

Inaonekana haujui bei za Mashamba kulingana na sehemu husika,mbona mengi tu pengine wanauza eka moja laki mbili na nusu mpaka laki mbili ,sijui unachobishana ni nini haswa ,ebu uliza uliza kama una watu kule alafu ulete mrejesho
Anabisha tu bure, nilinunua hko bungu sehem wanaita mitobongo hekar mbili kwa laki sita, ni kipindi kabla ya mauaji mauaji kuanza
 
NAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA KUKU VIWILI...BANDA LA MFANYAKAZI CHUMBA NA SEBULE....ENEO LILILOBAKI LIPO WAZI HUWA NALIMA UFUTA NA MUHOGO.
SHAMBA LIPO BUNGU ,KIBITI PWANI. NAKUBALI MALIPO HATA KWA AWAMU MBILI.
KWA MUITAJI TUWASILIANE PM
Weka picha
 
Una makaratasi muhimu yote?? Isijekuwa ni mali za wale waliopotezwa
 
Back
Top Bottom