Plot4Sale Nauza shamba ekari 20 kwa milioni 4

Too good to be true
Wakuu uvamizi wa maeneo ya watu ni critical sana siku hizi
Msikubali hata kununua kama mtu mwenye shida anavyodai basi aweze kuwashirikisha hata ndugu zake si chini ya watano uhakiki kweli ana dhamana ya kuuza nk
Msije kuta ni la urithi wapo weng ye anazunguks wenzie
Inshort jipeni kila possible angles mjirithishe
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Ngoja nisikujibu kitu
 
ardhi ni mali kiongozi .nipo radhi NIKUKOPESHE PESA UNAYOHITAJI LAKINI USIUZE ARDHI YAKO.
Njoo Pm kama unahitaji kutatuta tatizo la kifedha
NB:KAMA UPO SERIOUSLY
Na mimi naomba unikopeshe mkuu. Nina shida sana imenikalia pabaya
.
Nilipo natafuta mteja wa kiwanja changu (mita 30 x 15) kimepimwa, mkoani Mwanza maeneo ya Usagara. Bei Sh 5m
 
Kakope hela 4millions...weka sehemu ya hilo shamba kama security... Utalipa taratibu..kuliko uliuze kwa bei ya hasara namna hiyo

Ni ushauri tu
 
Inaonekana haujui bei za Mashamba kulingana na sehemu husika,mbona mengi tu pengine wanauza eka moja laki mbili na nusu mpaka laki mbili ,sijui unachobishana ni nini haswa ,ebu uliza uliza kama una watu kule alafu ulete mrejesho
Hayo maeneo mashamba ni bei rahisi, kuna mdau alikua akiuza Heka 50 kwa 3.5mil total.
Sema ni Shamba halijawahi kulimwa
 
NAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA KUKU VIWILI...BANDA LA MFANYAKAZI CHUMBA NA SEBULE....ENEO LILILOBAKI LIPO WAZI HUWA NALIMA UFUTA NA MUHOGO.
SHAMBA LIPO BUNGU ,KIBITI PWANI. NAKUBALI MALIPO HATA KWA AWAMU MBILI.
KWA MUITAJI TUWASILIANE PM
au kale kamuchezo kameanza tena mkuu?
 
Ungekua unauza kwa portion ningechukua ekari mbili upesi upesi
 
NAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA KUKU VIWILI...BANDA LA MFANYAKAZI CHUMBA NA SEBULE....ENEO LILILOBAKI LIPO WAZI HUWA NALIMA UFUTA NA MUHOGO.
SHAMBA LIPO BUNGU ,KIBITI PWANI. NAKUBALI MALIPO HATA KWA AWAMU MBILI.
KWA MUITAJI TUWASILIANE PM
Mkuu toa mawasiliano yako, kesho jumapili nikutafute.
 
mkuu kama ni kweli unaunza hili shamba kwa hiyo bei aises nimekuonea huruma sana.
Yaani kama kuna mtaji/mali adimu duniani hapa ni ardhi, sikushauri hata kidogo kuuza.

Futa hilo wazo, kama ni shida heri ukope kwa dhamana ya hilo shamba. Kopa mkuu, usijejutia baadaye.
 
Inaonekana haujui bei za Mashamba kulingana na sehemu husika,mbona mengi tu pengine wanauza eka moja laki mbili na nusu mpaka laki mbili ,sijui unachobishana ni nini haswa ,ebu uliza uliza kama una watu kule alafu ulete mrejesho
Ana dhani ni kariakoo.
 
Back
Top Bottom