Kula 80...Nimeshuka Hadi elfu 90 jamani. Karibuni inbox mniondoe kwenye dharura.[emoji17]
Njoo inbox tumalize bosiKula 80...
MbagalaDar sehem gan exactly
Mmmh,,, nashukuru mkuu ila huku hapana. Acha shida zinikung'uteπIkifika 50 njoo pm tumalize
πππ Mungu akusamehe TU. Hapa umepotoka.!Siyo ya wizi hiyo?, nyaraka za mkopo unazo? Wakopeshaji huwa wanachukua kwa kila mwezi mpaka pesa ikamilike. Wewe unataka kuwalipa kabla ya muda wa marejesho kufika?
Narudia tena swali, "siyo ya wizi hiyo?, nyaraka za mkopo unazo?"πππ Mungu akusamehe TU. Hapa umepotoka.!
Asante sana nduguPole sana mkuu...