Nauza simu ya mkopo

Nauza simu ya mkopo

Wanunuzi kujeni. Hii simu Bado mpya kabisa. Njoo inbox tuzungumze mwenzenu nina dharura.
 
Nimeshuka Hadi elfu 90 jamani. Karibuni inbox mniondoe kwenye dharura.😔
 
Hii nchi unakufa na shida zako kabisa. Guys, simu ipo Bado. Leta 80 basi. Chini ya hapo hapana.
 
Simu Bado ipo. Naombeni mnunue simu ipo Kwa Bei ya elfu 80
 
Siyo ya wizi hiyo?, nyaraka za mkopo unazo? Wakopeshaji huwa wanachukua kwa kila mwezi mpaka pesa ikamilike. Wewe unataka kuwalipa kabla ya muda wa marejesho kufika?
 
Siyo ya wizi hiyo?, nyaraka za mkopo unazo? Wakopeshaji huwa wanachukua kwa kila mwezi mpaka pesa ikamilike. Wewe unataka kuwalipa kabla ya muda wa marejesho kufika?
😔😔😔 Mungu akusamehe TU. Hapa umepotoka.!
 
Swali lako silijibu Kwa sababu unauliza kana kwamba unanijua Mimi ni mwizi. Yeyote mwenye uhitaji lakini ana mashaka kama ya huyu, njoo inbox na nitakuonesha vielelezo kama ni mhitaji.
 
Kuna harufu simu ya wizi

Utaki kuweka uthibitisho

Angalizo Christmas isije kuwakuta magereza
 
Back
Top Bottom