Beams 2000Engine gani brother na inatembea ltr/km ?
Ahsante kwa maoni yakoKwa mara ya kwanza nimeiona Verosa yenye usajili wa D....!
Napiga kura Kiongozi. Gari ni nzuri, ila bei iko juu sana.
Kwa matumizi hayo ni himilivu, muonekano bodi iko poa. Hali ngumu tikisa bei kidogo watu wajae pmBeams 2000
Kwa dsm ni kama 10- 12kms/litre
Simu iite kaka, tutayajengaKwa matumizi hayo ni himilivu, muonekano bodi iko poa. Hali ngumu tikisa bei kidogo watu wajae pm
Piga simu tuyajengeLengesha Gari hiyo
SawaHiyo bei labda umuuzie kipofu ambaye ni kilema wa macho