Upate nyeusi kaka shida tupu, warembo kama wote nikujilia tuu watoto wa chuo weekends"Mungu nijalie demu mpenda pesa asinipende mimi apende verossa" enzi zake ilikuwa chuma ya hatari kwa road
HahahaaaUpate nyeusi kaka shida tupu, warembo kama wote nikujilia tuu watoto wa chuo weekends
Shida kitu gani tunaishi mara mojaHahahaaa
Kweli kaka😃Shida kitu gani tunaishi mara moja
Wakati mwingine kwa faida yako mwenyewe uwe unasoma kichwa cha habari. Mtoa mada ameanza na zoezi la kuwataka watu kupiga kura. Na hata hiyo kauli ya kusema "hapana, bei iko juu sana" ni yeye mwenyewe ndiyo ameiweka.Nyie wabongo kwahio mnasema 6m ni kubwa sana mnataka awauzie kwa 3m kweli? Labda kama mnampa na dada zenu kama nyongeza
Mimi ndio mmiliki halali
.
1990cc
Full AC
Kimara - Dsm
.
0717 650800View attachment 3609786View attachment 3609787View attachment 3609788View attachment 3609789View attachment 3609790View attachment 3609791View attachment 3609792View attachment 3609793View attachment 3609794View attachment 3609795View attachment 3609796View attachment 3609797
Beams 2000
Kwa dsm ni kama 10- 12kms/litre
UONGO. TENA UONGO HASA. HIYO GARI INAENDA 5 MPAKA 6 kms per litre
Kuwa makini usije ukafanana na jina lako la kwanza hilo unalolitumiaUONGO. TENA UONGO HASA. HIYO GARI INAENDA 5 MPAKA 6 kms per litre
Ila wewe kufanana na jina lako unaona ni sawa? Manumba? Kwa kabila letu manumba ni makalio.Kuwa makini usije ukafanana na jina lako la kwanza hilo unalolitumia
Nipgie tuzungumzeMKOANI ANAWEZA AKAPATIKANA DERVA AKAILETA HIYO?!!!
Angeuza bei ganiKwa mara ya kwanza nimeiona Verosa yenye usajili wa D....!
Napiga kura Kiongozi. Gari ni nzuri, ila bei iko juu sana.
HahahaaaaKumbe hata sisi kajamba nani tunaweza kumiliki gari siku moja 😄😄