Hiyo unatumia engine 1G kavu ambayo inakupa fuel consumption Lita 1 km 8 high way inakupa Lita 1 km 11.7Engine gani brother na inatembea ltr/km ?
Ahsante mkuuAll the best
Ahsante sana mkuuKila lakheri.
Nashukuru mkuuNdinga kali
HahahaaaaaaNyie wabongo kwahio mnasema 6m ni kubwa sana mnataka awauzie kwa 3m kweli? Labda kama mnampa na dada zenu kama nyongeza