NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Double decker bado ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
190, 000 nimkope mtu
Side bed bei gani naomba picha kabisa Kama bado zipoWakuu Habari nauza hizi items zangu kwa dharula,nauhitaji mkubwa wa pesa kwa ajiri ya kugharamia matibabu.
LAPTOP HP
INTEL CORE i5 7th Gen
Os. Windows 10pro (activated)
Hdd 500GB
Ram 8GB
Display 15'6
Battery runtime 4hrs
Clean as new
inahitaji 520k only.
KITANDA CHA CHUMA DOUBLE DECKER KUTOKA UTURUKI
Futi 4×6 juuu
Futi 5 x 6 chini
Kina ngazi yake.
Kimenunuliwa ORCA Deco miaka mitatu iliyopita kwa gharama ya 550k ( hiki nadhani risiti ipo) kimekaa store zaidi ya mwaka bila kutumika..kinafaa sana kwa familia kubwa yenye vyumba vichache vya kulala
Nahitaji 230k ( kitarudishiwa rangi kwa mteja side bays imeshambuliwa na kutu)
Sikupata muda wa kupiga picha mapema zitatumwa kwa muhitaji
ALUMINIUM FOLDABLE TENT ( 10ft kwa 10ft)
Hili linafaa sana kwa mikutano ya njee,kwenye mashule,hospital au NgO's kwa ajiri ya kupokelea wageni,kufanyia registration n.k...Limeishii store kwa muda mrefu haina top cover
Linahitaji 450k.
Napatikana Dsm-Ubungo
0713498825View attachment 2438882View attachment 2438884View attachment 2438885View attachment 2438914
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Boss wangu...hii ni hela nyingi unanipa na ni kweli nahitaji pesa kwa haraka sana ila nikiuza kwa 190k siwezi kufikia lengo la kuuza hizi items.190, 000 nimkope mtu
Nitakucheki rasmi kesho kama kitakuwepoAsante Boss wangu...hii ni hela nyingi unanipa na ni kweli nahitaji pesa kwa haraka sana ila nikiuza kwa 190k siwezi kufikia lengo la kuuza hizi items.
200k njoo uchukue kama kilivyo...
Hii double decker hakijachoka na sio local made ni imported ...ila kwa vile kimekaa store muda mrefu kinahitaji kufanyiwa service na usafi ambapo kwa 230k kila kitu kitu kingekuwa juu yanguView attachment 2440953View attachment 2440954
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Boss.Ukishindwa kuuza PC nicheki Pm nipo ubungo riverside Nina 350 cash
Mm pia bado nipo. IkikupendezaHii laptop [emoji335] niko na offa ya 400000.muda wwte kuanzia sasa. Ikikupendeza
Ameein.Polee ewe Mungu hizi jitihada mtu huyu anazoweka kumsaidia mgonjwa baba weka mkono wako.
Hayajakukuta, endelea kumshukuru sana Mungu kwa Neema zake mkuu.Mbona kama dalali flani ivi
Asante Boss offer nzuri, lakini siwezi fikia lengo la kuuza hizi items...hii pc ni intel processor core i5 7th Generation sio 4th Generation....niko tayari kuiiupgrade kwa ssd ya 32GB ili nipate not less than 500k.Mm pia bado nipo. Ikikupendeza
Hii hapa 43' nipe 450k boss au exchange nipe 32' na laki mbili.Hauna TV unauza?