INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

Nauza vitu vingi Boss Shark ili nipate pesa ya kutatua changamoto iliyo mbele yangu sasa kiongozi wewe umepoint hiyo receiver na kudondoshaa negative comment nimeona hujatenda haki boss.
Anyway ni Jamiii forums hii hatupangiani cha kukoment

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro,
Una uhakika Mimi ndie niliekuandikia ile comment mpaka umenitaja hapa?
 
Habari za siku nyingine tena ndugu zangu wa Jamii forums,kwangu mimi hapa ndio sehemu pekee nayotegemea kufanikisha nalopambania ambalo liko njee ya muda kutokana na kutofikiwa gharama hitajika.
Hizi items bado ninazo
Laptop hp intel core i5 7th Gen 8GB of Ram na 500GB hard disk bei 500k
Samsung laser jet printer model ML 2855ND bei 250k
Samsung Tablet 10.1' with new flip cover bei 350k
Aluminium outdoor tents kubwa lenye 100sqft bei 400k
Napatikana
Dsm-Ubungo
0713498825
Nb: ninahuitaji mkubwa wa pesa kwa haraka hivyo pamoja kwamba items nyingi nauza kwa bei ya chini lakini pia kwa muhitaji serious nione kwenye simu unachotaka tukubaliane .
View attachment 2451647View attachment 2451648View attachment 2451649View attachment 2451650View attachment 2451651

Sent using Jamii Forums mobile app
Tent bado lipo?
 
Back
Top Bottom