Delivery Man
Senior Member
- Jan 3, 2019
- 157
- 107
- Thread starter
- #141
Humidifier bado ipo wakuu
Naitoa kwa only 100k
Mawasiliano: 0713498825
Dsm-Ubungo
Naitoa kwa only 100k
Mawasiliano: 0713498825
Dsm-Ubungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwaajili ya niniHumidifier bado ipo wakuu
Naitoa kwa only 100k
Mawasiliano: 0713498825
Dsm-Ubungo
View attachment 2447908View attachment 2447913View attachment 2447914
Inasaidiaa sana kipindi cha joto kalii kuweka hewa nyevu ndani hata kipindi cha baridi....Hasa nyumba zenye watoto wenye matatizo ya upumuaji au mafua makali uifanya hewa inakuwa nyepesi.Hii ni kwaajili ya nn
Mkuu niongezee only 30kDaaah nikweli kabisa tubebane iyo laptop nimejipiga,mpk nachakaa ipo 450000.
Changamoto kiongozi kama itakupendeza 450000 tumalize bznes. Ya kuongeza sina mkuuMkuu niongezee only 30k
Njooo uchukue aisee...nimefikia point of no return sasa.
Okk chief njoo uchukue nahitajii sana hii pesa na muda wa kusubiria ahadi za wadau umeniishiaChangamoto kiongozi kama itakupendeza 450000.tumalize bznes. Yakuongeza sina mkuu
Boss nimekutumia namba yangu kwenye private message Monday mapema ikiwepo nipigie simu nitakuja kuilipia laptopHabari ndugu zangu wa Jamii forums, bado nipo kwenu...muda wa jitihada zangu za kupambania maisha ya mpendwa wangu unanikimbiaa
Bado sijaweza fikia lengo la hitajio
Package hii hapa nahitaji 1m
Samsung Tab 10.1' with 80GB of storage,inatumia line moja
Amazon kindle reader with more than 100books inatumia wifi
Hp laptop intel core i5 7Gen woth 8Gb Ram and 500GB hdd
Juu ya hii nitatoaa offer ya smile Franklin wireless router bure kabisa.
View attachment 2447716View attachment 2447717View attachment 2447718
Asante mkuu,ilaa nilipofikiaa sina tena ujanjaa wa kusubiriaa...Nitakuchukua kilicho mbele yangu.Boss nimekutumia namba yangu kwenye private message Monday mapema ikiwepo nipigie simu nitakuja kuilipia laptop
Receiver za mwaka 47,washike mkuuWakuu hii satellite dish la Fta pamoja na satellite reciever mbili hata kwa 150k muhitajii anicheki nimuachie.View attachment 2446672View attachment 2446673
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwelii boss ni za muda mrefu,na sijaziweka sokoni ili nimpige mtu...after all hizo receiver ni za muda mrefu lakini kuna dish hilo na pia kuna LNB ambazo ndio hizo hizo zinazotumiwa na Azam,dstv nk..
Mungu akufanyie wepesi naona wana wanatoa ahadi wanapotea hii si sawa kabisa kama hauko vizuri ni heri kukaa kimya kuliko kumpa mtu matumaini sifuri, hope utauza hiyo pc ikiwa bado haijapata mtu nitajipiga piga nichukueHabari za siku nyingine tena ndugu zangu wa Jamii forums,kwangu mimi hapa ndio sehemu pekee nayotegemea kufanikisha nalopambania ambalo liko njee ya muda kutokana na kutofikiwa gharama hitajika.
Hizi items bado ninazo
Laptop hp intel core i5 7th Gen 8GB of Ram na 500GB hard disk bei 500k
Samsung laser jet printer model ML 2855ND bei 250k
Samsung Tablet 10.1' with new flip cover bei 350k
Aluminium outdoor tents kubwa lenye 100sqft bei 400k
Napatikana
Dsm-Ubungo
0713498825
Nb: ninahuitaji mkubwa wa pesa kwa haraka hivyo pamoja kwamba items nyingi nauza kwa bei ya chini lakini pia kwa muhitaji serious nione kwenye simu unachotaka tukubaliane .
View attachment 2451647View attachment 2451648View attachment 2451649View attachment 2451650View attachment 2451651
Sent using Jamii Forums mobile app
"Amina" Asaante chief.Mungu akufanyie wepesi naona wana wanatoa ahadi wanapotea hii si sawa kabisa kama hauko vizuri ni heri kukaa kimya kuliko kumpa mtu matumaini sifuri, hope utauza hiyo pc ikiwa bado haijapata mtu nitajipiga piga nichukue