kiri12
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 638
- 558
Bima kutoka jubilee, unakata na unapata matibabu yako yote hata kama itabidi kupewa referral itakucover pia, kama unahitaji nipm namba yako nikupigie kwa maelezo zaidi, nilishaelezea kwenye post za nyuma huko jinsi inavyotumikaAsaante sana mkuu,hujaniambia nikufate wapi,lakini pia hii offer ni kwangu tu au kwa watu wote wa Jamii forums?? Kama ni kwa ajiri yangu tu kariibu sana PM kiongozi ilaa kama ni kwa members wote wa Jamii forums basi naomba maelezo zaidi hapa.....Najua there is no free lunch ..hivyo nijurishe ni bima ya aina gani na inakuwa effective baada ya muda gani na inacover procedure zote kubwa au laah lastly niambie gharama za hiyo bima ya uhakika zikoje boss.
Sent using Jamii Forums mobile app