INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

Hii hapa 43' nipe 450k boss au exchange nipe 32' na laki mbili.View attachment 2441684

Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni sana ndugu zangu tv imelipiwaa sasa hivi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Items zilizobaki
Ni
1.HP laptop intel core i5 7th Generation ikiwa na 8GB RAM,500Gb harddisk...( optional offer 32GB ssd itakayowekwa kwa gharama ya mteja na mafundi) ingawa kwa hizi specs zilizopo ni supper fast..battery running time ni 4hrs
2.RM super hd display 21' inauzwa laki na nusu 150k
3.double decker bed 5× 6 and 3 × 6 inahitaji top 200k kama kilivyo 230k kikifanyiwa usafi na kuwa splayed side bays zina kutu
4.Aluminium foldable tent kwa ajiri ya on road clinic,outdoors registrations,camping etc size ni 100sqft...slightly used...bei ni 450k ( wakuu bei hii ni nusu ya market price kwa wanaozijua )
5.Samsung android Tablet 10.1' with 80GB storage 350k ( nashindwa kupata picha yake kwa vile ndio naitumia)
6.Humidifier almost new bei 100k top
Mawasiliano 0713498825
Dsm.
 
Of course.... Ninachomaanisha nisije nikajikuta nanufaika kutokana na mtihani wa ndugu yangu...
Asante mkuu for your concern.
Shaka ondoaa changamoto imekuja na uhitaji mkubwa wa pesa ambayo haijitoshelezi in cash money lakini kwa vile nimeona kuna items ambazo zinaweza kuwa converted to quick cash money na zikaweza kuchangia kupunguza gap la hitajio ndio maana nimeziweka sokoni ..kwa vile nachopigania kwa sasa ni muhimu zaidi kuliko uwepo wa hizi items ndani na kutokuwepo kwake hakuwezi niathiri sana kwa maisha yangu ya kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wangu wa Jamii forums asanteni kwa support lakini bado napambana kufikiaa lengo....hizi items bado zipo
Humidifier bei 100k only
Hp laptop core i5 7th Gen..500k top
Full bridgable power Amplifier plus super Bass speaker kwa ajiri mziki mnene wa gari ( nakupa na wire zake zote) 300k
RM one monitor 21' ikiwa na VgA connector port,Full DVI port,usb ports,audio ports
Aluminium foldable tents 100sqrft .
Napatikana kwa namba hii 0713498825
Dsm
IMG-20221212-WA0012.jpg
IMG-20221212-WA0010.jpg
IMG-20221212-WA0013.jpg
20221209_125217.jpg
IMG-20221212-WA0003.jpg
IMG-20221212-WA0004.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wa Jamii forums wale wapenzi wa kusoma vitabu hii digital reader from Amazon sio kitu ya kukosa "kindle"
Nahitajii 200k ikiwa loaded na vitabu vingi mno and incase kuna vitabu specific unahitaji nambie nitakuwekea.
20221212_205524.jpg
20221212_205610.jpg
20221212_205246.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikupatie bima ya uhakika ili ujitibu vizuri.
 
Njoo nikupatie bima ya uhakika ili ujitibu vizuri.
Asaante sana mkuu,hujaniambia nikufate wapi, lakini pia hii offer ni kwangu tu au kwa watu wote wa Jamiiforums?? Kama ni kwa ajili yangu tu kariibu sana PM kiongozi ilaa kama ni kwa members wote wa Jamii forums basi naomba maelezo zaidi hapa.....

Najua there is no free lunch ..hivyo nijulishe ni bima ya aina gani na inakuwa effective baada ya muda gani na inacover procedure zote kubwa au laah lastly niambie gharama za hiyo bima ya uhakika zikoje boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom